NBA Season 2014/2015

NBA Season 2014/2015

Chezeya playoffs Mkuu, GSW karibu waadhirike nyumbani, 2 more games to go later today.

acha tu mkuu,yaani playoff sometimes haina formula,3 starters wa New Orleans hawana playoff experience,infact ndio the least experienced team but they took it to another level in the fourth quarter
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nilishapitia.. unajua hii come back ya Pelicans ilinichanganya kidogo..

Kutoka 18 mpaka 7 si mchezo..

tangu mwanzo nilishasema 3pt shooting ni ngumu sana kuwin playoff games.....hata curry kasema, their FGAs were awful.I hope waimprove next game...wasiblow tena hizi leads
 
when home team win game 1,they win the series 85% of the time.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
out of four games.three home winners....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Toronto sijui imekuwaje wakapoteza..

wote walianza slow,turnovers nyingi,hata hivyo baadae raptors waliongoza kwa muda mrefu japo kwa point chache,ilikuwa rahisi kwa timu yoyote kushinda...a very close game
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Raptors walizembea sana kwa kweli kuna wakati 3rd quarter Wizard walikuwa wakiongoza hadi kwa 12 lakini 4th quarter Raptors wakangangamara na kutie the game with 3 points to 82 each na kuwaamsha wapenzi wao. Kwenye OT wakazembea na kufunga 4 points tu wakati Wizard walifunga 11 points. Pia kwenye rebounds walizembea sana kama hawakungangamara next game wanaweza kuwa sweep. Mkongwe Paul Pierce was at his best offensively and defensively

kwakweli ili waliwaangusha sana mashabiki wao.Ile atmosphere ya Toronto ndani na nje ya uwanja ilikuwa poa sana.Pengine kwa kuwa ni timu pekee kutoka Canada.Inabidi game 2 washinde kwa kishindo kurudisha matumaini...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
end of first quarter,,,,CELTICS 31 CAVALIERS 27
 
  • Thanks
Reactions: BAK
...so far SPURS WANAPOTEZWA...big baby Davis...heheh
 
end of 3rd quarter...SPURS 64 CLIPPERS 79
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Crawford kama teeneger.....burying threes...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
tangu mwanzo nilishasema 3pt shooting ni ngumu sana kuwin playoff games.....hata curry kasema, their FGAs were awful.I hope waimprove next game...wasiblow tena hizi leads
Aisee steph curry alikua ana shoot zile 3pts throws nomaa
 
A.D akiamua kusimamia show anaipiga vizuri hasa.. Nakumbuka hata ile game yetu bila yeye wasingeshinda.

Kwenye MVP race kwangu favorites ni Curry, A.D and Harden huyo Lebron siwezi kumweka..
A.D for Antony Davis nafikiri?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie MVP wangu ni mmoja tu Mkuu. Wasipompa watakuwa hawajamtendea haki, huyu si mwingine bali ni Steph Curry.

A.D akiamua kusimamia show anaipiga vizuri hasa.. Nakumbuka hata ile game yetu bila yeye wasingeshinda.

Kwenye MVP race kwangu favorites ni Curry, A.D and Harden huyo Lebron siwezi kumweka..
 
Back
Top Bottom