NBA Season 2014/2015

NBA Season 2014/2015

washkaji zangu Lakers wapo hoi bin taaban...sasa hivi nipo kwa Mkopo San Antonio Spurs....
 
Nawachukia kweli wachezaji wanaofanya hivi ili wenzao wawe penalized.

Nitafurahi sana kama NBA front office wakiweka sheria inayokataza ku flop kama walivyofanya NFL.

Manake sio fair kabisa. Mtu hujaguswa unajiangusha halafu refs wana call foul...

Ebana halafu mtanange wa Chicago na Milwaukee unauangalia (upo NBA tv).

Ngoma iko overtime halafu licha ya Milwaukee kuwa nyumbani lakini Chicago ina mashabiki wengi sana pia utadhani wanachezea kwao.

Nadhani ni ile proximity ya Chicago na Milwaukee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Duh....huyu dogo Greek Freak naanza kumkubali aisee.

Ananifurahisha jinsi anavyojituma (siyo kama yule 7 footer wetu...hata sijui kaishia wapi siku hizi).
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nakubaliana nawe kwenye flop, naona kuna uwezekano wa 2nd OT hapa. 101 each with 45 seconds to go.

Nitafurahi sana kama NBA front office wakiweka sheria inayokataza ku flop kama walivyofanya NFL.

Manake sio fair kabisa. Mtu hujaguswa unajiangusha halafu refs wana call foul...

Ebana halafu mtanange wa Chicago na Milwaukee unauangalia (upo NBA tv).

Ngoma iko overtime halafu licha ya Milwaukee kuwa nyumbani lakini Chicago ina mashabiki wengi sana pia utadhani wanachezea kwao.

Nadhani ni ile proximity ya Chicago na Milwaukee
 
2nd OT in Milwaukee
 
Hata sijui kaishia wapi, watu wamempa sana ushauri chungu nzima wa kumsaidia lakini ujuaji mwingi, angekuwa mtu mwenye kujituma angejifua na timu nyingi tu zingempa nafasi lakini starehe kaweka mbele na uvivu wa hali ya juu.

Duh....huyu dogo Greek Freak naanza kumkubali aisee.

Ananifurahisha jinsi anavyojituma (siyo kama yule 7 footer wetu...hata sijui kaishia wapi siku hizi).
 
2nd OT in Milwaukee

Naona Bulls wame-pull away sasa...111 - 101

Ila effort ya Bucks imenifurahisha sana....hata wakishindwa itakuwa wameshindwa kiume.

Na uzuri wachezaji wake wengi bado ni wadogo hivyo wana muda wa kutosha kukua (ki-NBA)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
The Team's future is very bright.

Naona Bulls wame-pull away sasa...111 - 101

Ila effort ya Bucks imenifurahisha sana....hata wakishindwa itakuwa wameshindwa kiume.

Na uzuri wachezaji wake wengi bado ni wadogo hivyo wana muda wa kutosha kukua (ki-NBA)
 
final:GSW VS PELICANS 123-119 OT..

9Epmy9C.png
 
D Green atakuwa demotivated na hii habari, make he was so confident na vyombo vya habari vilimpa asilimia kubwa.
IT CAN BE A MOTIVATIONAL TOOL AS WELL...IT COULD GO EITHER WAY...
NDIO HIVYO TENA,The NBA Accredited Media MEMBERS wamemchagua ''The Spurs` Future Face of the Franchise''.Hata hivyo it was a close race....Kahwi amepata 37 first place votes,D.G KAPATA 45 FIRST PLACE VOTES....But in totality Kawhi had more points than DG.
 
GSW wasipokuwa makini watapoteza huu mchezo na kuwapa motivation kubwa NO.
FINALY GSW TRIUMPHED.LOTS OF CREDITS TO THE PELICANS HOWEVER.THEY DID A HECK OF A JOB.I STILL DONT SEE THIS MATCH UP AS A SWEEP....I wish it to happen though..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
the third largest 4th quarter comeback in NBA History......awesome fact...
 
nimefarijika sana,nimefurahi sana......i love the facts that they keep on proving to all the doubters...

For real! Yaani nilivyoona 20 points game quarter 3 ilivyoisha nikajua hii game NOP wameichukua, nikawa naanza kufurahi kimoyo moyo.

Baada ya comeback imebidi niwapende tu jamaa. Ingawaje bado nahitaji kuona wanafanya nini mbele ya real contenders.
 
Back
Top Bottom