Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Nawachukia kweli wachezaji wanaofanya hivi ili wenzao wawe penalized.
Nitafurahi sana kama NBA front office wakiweka sheria inayokataza ku flop kama walivyofanya NFL.
Manake sio fair kabisa. Mtu hujaguswa unajiangusha halafu refs wana call foul...
Ebana halafu mtanange wa Chicago na Milwaukee unauangalia (upo NBA tv).
Ngoma iko overtime halafu licha ya Milwaukee kuwa nyumbani lakini Chicago ina mashabiki wengi sana pia utadhani wanachezea kwao.
Nadhani ni ile proximity ya Chicago na Milwaukee
Duh....huyu dogo Greek Freak naanza kumkubali aisee.
Ananifurahisha jinsi anavyojituma (siyo kama yule 7 footer wetu...hata sijui kaishia wapi siku hizi).
2nd OT in Milwaukee
Naona Bulls wame-pull away sasa...111 - 101
Ila effort ya Bucks imenifurahisha sana....hata wakishindwa itakuwa wameshindwa kiume.
Na uzuri wachezaji wake wengi bado ni wadogo hivyo wana muda wa kutosha kukua (ki-NBA)
this was 15th april, post no.#298 ......
..the league has decided....
cc:Raimundo, BAK,Steph Curry,King Shaat
so far na hii nayo iko close...
4th quarter 20 points come back by gsw! I am automatically loving them!
IT CAN BE A MOTIVATIONAL TOOL AS WELL...IT COULD GO EITHER WAY...D Green atakuwa demotivated na hii habari, make he was so confident na vyombo vya habari vilimpa asilimia kubwa.
FINALY GSW TRIUMPHED.LOTS OF CREDITS TO THE PELICANS HOWEVER.THEY DID A HECK OF A JOB.I STILL DONT SEE THIS MATCH UP AS A SWEEP....I wish it to happen though..GSW wasipokuwa makini watapoteza huu mchezo na kuwapa motivation kubwa NO.
nimefarijika sana,nimefurahi sana......i love the facts that they keep on proving to all the doubters...