Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Nkya,hawana serious defence ukiacha labda green...ni basically jump shooting team...Defence ya Curry ni bure kabisa,heri hata Klay kwenye defence walau...
Ukija playoffs mzee,ni defence na size na experience...kwanza kwa Spurs hawakatizi
Mkuu nakuhakikishia hii timu ina nafasi kubwa sana.. Wakubwa wote wa West washakaa tena kwa difference kubwa tu. Kule East ni kama ujuavyo hakuna timu
Mzee BAK huwezi kuwapa ushindi fasta namna hiyo....ni just one increadible game from Klay...na hiyo kushinda 15 games in a row sio tatizo,ni katikati ya season wakuu...
Hawana serious Centre ambapo Andrew Bogut kila siku mgonjwa...bila centre na enough size playoffs huoni ndani
Kwa west mi bado siwapi sana, make zikishaanza Playoffs kuna mijitu inakazaga balaa, kuna Mavs, Memphis, SAS hata OKC bado sijawafuta aisee!
Wakikutana na Memphis playoffs wanakaa hawa!
Attacking is the best defense mkuu.. ndio maana game yao na OKC walifungana over 210 points, hawa wote hawana defence nzuri. Wao almost timu yote wanaweza shoot 3 points bila wasiwasi, anyway ngoja tuone
Kwa west mi bado siwapi sana, make zik ushaanza Playoffs kuna mijitu inakazaga balaa, kuna Mavs, Memphis, SAS hata OKC bado sijawafuta aisee!
Mkuu umewaangalia hawa vijana lakini??? nakupa mechi 3 waangalie then urudi na jibu lingine
Mkuu miye sijatoa hitimisho based on one game only, nimeangalia performance yao tangu mwanzo mwa msimu, kwa sasa sioni mtu wa kusimama nao kwenye 7 games, ila kuna uwezekano kukawepo na timu ambazo zitaamua kuuza na kununua wacheza hili nalo linaweza kufanya baadhi ya timu zitakazonunua wacheza kuwapa ushindani mkubwa hawa GSW.
Nimeanza kuwaangalia mwaka juzi hawa jamaa, kuna game Curry alipiga 54 points game moja ndiyo nilianza kuwa interested naye, ni wazuri kwa shooting ila ni wabovu sana defense.
Ukiziona tactics za babu Pop (SAS) kwenye playoffs hawa wanatulia, Memphis pia ni wazuri defense na frustrations, Mavs wame-strengthen kikosi chao, playoffs za West ni ngumu sana mkuu.
OKC, Clippers, Portland na Houston ndio saizi zao. Tuko pamoja
Hapa mie nawaona OKC labda ndio wataweza kuwa kuzingiti, wengine wote kwa GSW ni wachovu.
Mkuu umewaangalia hawa vijana lakini??? nakupa mechi 3 waangalie then urudi na jibu lingine
OKC wanacheza game sawa na GSW, wote wanaprefer offense zaidi, so hii itakuwa open game! Ila kwa wakongwe wa defense kama Memphis wanakaa game 6.
Halafu jamaa wana speed ile mbaya, hii nayo itawasaidia sana kwenye playoffs maana turnovers nyingi za timu pinzani zitaishia kwenye 2 points kama siyo 3 points.
Halafu jamaa wana speed ile mbaya, hii nayo itawasaidia sana kwenye playoffs maana turnovers nyingi za timu pinzani zitaishia kwenye 2 points kama siyo 3 points.
Wakikutana na Memphis/SAS wanapigwa frustrations za kufa mtu mpaka wachanganyikiwe, na hapo ndiyo shooting inapotea! Nakumbuka mwaka jana Memphis waliwakazia OKC mpaka Zach Randolph akapigwa ban game 7 ndiyo ilikuwa pona pona yao!
Let's wait and see, last season if I am not mistaken Memphis were knocked out by GSW.