NBA Season 2014/2015

NBA Season 2014/2015

Nkya,hawana serious defence ukiacha labda green...ni basically jump shooting team...Defence ya Curry ni bure kabisa,heri hata Klay kwenye defence walau...

Ukija playoffs mzee,ni defence na size na experience...kwanza kwa Spurs hawakatizi

Attacking is the best defense mkuu.. ndio maana game yao na OKC walifungana over 210 points, hawa wote hawana defence nzuri. Wao almost timu yote wanaweza shoot 3 points bila wasiwasi, anyway ngoja tuone
 
Mkuu nakuhakikishia hii timu ina nafasi kubwa sana.. Wakubwa wote wa West washakaa tena kwa difference kubwa tu. Kule East ni kama ujuavyo hakuna timu

Wakikutana na Memphis playoffs wanakaa hawa!
 
Mkuu miye sijatoa hitimisho based on one game only, nimeangalia performance yao tangu mwanzo mwa msimu, kwa sasa sioni mtu wa kusimama nao kwenye 7 games, ila kuna uwezekano kukawepo na timu ambazo zitaamua kuuza na kununua wacheza hili nalo linaweza kufanya baadhi ya timu zitakazonunua wacheza kuwapa ushindani mkubwa hawa GSW.

Mzee BAK huwezi kuwapa ushindi fasta namna hiyo....ni just one increadible game from Klay...na hiyo kushinda 15 games in a row sio tatizo,ni katikati ya season wakuu...

Hawana serious Centre ambapo Andrew Bogut kila siku mgonjwa...bila centre na enough size playoffs huoni ndani
 
Kwa west mi bado siwapi sana, make zikishaanza Playoffs kuna mijitu inakazaga balaa, kuna Mavs, Memphis, SAS hata OKC bado sijawafuta aisee!

GWS hawakatizi kwa hao come playoffs...watapigwa defence za ajabu waishie long range shooting ambazo huwezi score more than 35%
 
Attacking is the best defense mkuu.. ndio maana game yao na OKC walifungana over 210 points, hawa wote hawana defence nzuri. Wao almost timu yote wanaweza shoot 3 points bila wasiwasi, anyway ngoja tuone

Mkuu,defence wins championships!
 
Hapa mie nawaona OKC labda ndio wataweza kuwa kuzingiti, wengine wote kwa GSW ni wachovu.

Kwa west mi bado siwapi sana, make zik ushaanza Playoffs kuna mijitu inakazaga balaa, kuna Mavs, Memphis, SAS hata OKC bado sijawafuta aisee!
 
Mkuu umewaangalia hawa vijana lakini??? nakupa mechi 3 waangalie then urudi na jibu lingine

Nimeanza kuwaangalia mwaka juzi hawa jamaa, kuna game Curry alipiga 54 points game moja ndiyo nilianza kuwa interested naye, ni wazuri kwa shooting ila ni wabovu sana defense.

Ukiziona tactics za babu Pop (SAS) kwenye playoffs hawa wanatulia, Memphis pia ni wazuri defense na frustrations, Mavs wame-strengthen kikosi chao, playoffs za West ni ngumu sana mkuu.

OKC, Clippers, Portland na Houston ndio saizi zao. Tuko pamoja
 
Mkuu miye sijatoa hitimisho based on one game only, nimeangalia performance yao tangu mwanzo mwa msimu, kwa sasa sioni mtu wa kusimama nao kwenye 7 games, ila kuna uwezekano kukawepo na timu ambazo zitaamua kuuza na kununua wacheza hili nalo linaweza kufanya baadhi ya timu zitakazonunua wacheza kuwapa ushindani mkubwa hawa GSW.

Mkuu check wachezaji wa GSW,best player ni point guard,Curry...second best ni shooting guard,Klay...wengine very average...infact team haina defence ile serious kivile...hakuna serious rim protector labda Bogut awe healthy kweli....nadhani unajua pia Curry ana magoti ya glass...

Under harah playoffs conditions,sioni wakifurukuta kwa Spurs au OKC au Clippers au hata Mavs
 
Nimeanza kuwaangalia mwaka juzi hawa jamaa, kuna game Curry alipiga 54 points game moja ndiyo nilianza kuwa interested naye, ni wazuri kwa shooting ila ni wabovu sana defense.

Ukiziona tactics za babu Pop (SAS) kwenye playoffs hawa wanatulia, Memphis pia ni wazuri defense na frustrations, Mavs wame-strengthen kikosi chao, playoffs za West ni ngumu sana mkuu.

OKC, Clippers, Portland na Houston ndio saizi zao. Tuko pamoja

Mkuu hawa watoto hawakatizi kwa Memphis achia mbali Spurs
 
Hapa mie nawaona OKC labda ndio wataweza kuwa kuzingiti, wengine wote kwa GSW ni wachovu.

OKC wanacheza game sawa na GSW, wote wanaprefer offense zaidi, so hii itakuwa open game! Ila kwa wakongwe wa defense kama Memphis wanakaa game 6.
 
Halafu jamaa wana speed ile mbaya, hii nayo itawasaidia sana kwenye playoffs maana turnovers nyingi za timu pinzani zitaishia kwenye 2 points kama siyo 3 points.

Mkuu umewaangalia hawa vijana lakini??? nakupa mechi 3 waangalie then urudi na jibu lingine
 
OKC wanacheza game sawa na GSW, wote wanaprefer offense zaidi, so hii itakuwa open game! Ila kwa wakongwe wa defense kama Memphis wanakaa game 6.

Lazima wakae...majitu yamekomaa,height kama trees na defence ya kufa mtu,lazima madogo wakae aisee
 
Halafu jamaa wana speed ile mbaya, hii nayo itawasaidia sana kwenye playoffs maana turnovers nyingi za timu pinzani zitaishia kwenye 2 points kama siyo 3 points.

Ina depend mkuu...mkiwa na speed sana cha ajabu turnover zinakua kwenu...mnapigwa defence na on ball pressure mtachemka wenyewe...ni kama 2011 speed za Derick Rose na bulls yake Lebron alimkung'uta defence na on ball pressure Bulls wakaa
 
Halafu jamaa wana speed ile mbaya, hii nayo itawasaidia sana kwenye playoffs maana turnovers nyingi za timu pinzani zitaishia kwenye 2 points kama siyo 3 points.

Wakikutana na Memphis/SAS wanapigwa frustrations za kufa mtu mpaka wachanganyikiwe, na hapo ndiyo shooting inapotea! Nakumbuka mwaka jana Memphis waliwakazia OKC mpaka Zach Randolph akapigwa ban game 7 ndiyo ilikuwa pona pona yao!
 
Let's wait and see, last season if I am not mistaken Memphis were knocked out by GSW.

Walitolewa na OKC game 7, previously 2013 walitolewa na SAS kwa sweep WCF! GSW walitolewa na Clippers
 
  • Thanks
Reactions: BAK
SAS msimu huu hawana chao, timu yao wachovu wengi na wasipoangalia wanaweza hata kukosa playoffs, nadhani katika kujizatiti watanunua at least mcheza mmoja kama siyo zaidi kama wataweza kupata mchezaji/wachezaji ambao watakuwa na immediate and positive impact to their team.
 
Milwaukee's-Giannis Antetokounmpo,-Minnesota's-Zach LaVine, Orlando's-Victor Oladipo-and-Brooklyn's-Mason Plumlee-will be the contestants in the 2015 Sprite Slam Dunk contest
 
Back
Top Bottom