Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
its so sad kuona watu wanaisaliti Basketball na kukimbilia kwenye Ndondi....
BAK, Raimundo, steph curry, nyani ngabu, watu8 mnatakiwa muwajibike ktk hili wakuu
hahahahahaha tupo alive kuangalia the injured CP anavyowasulubu hawa grand dadies..
CC: BAK Raimundo Nyani Ngabu Watu8
spurs 61- 65 clippers
Aisee gemu bado ipo tight ingawaje naona leo LAC wana adabu ya mchezo...
Aisee gemu bado ipo tight ingawaje naona leo LAC wana adabu ya mchezo...
hahahahahaha tupo alive kuangalia the injured CP anavyowasulubu hawa grand dadies..
CC: BAK Raimundo Nyani Ngabu Watu8
Asante mkuu nilikuwa kama mzee sikumbuki nini nilikuwa natizama nimeweka ngumi sijui wapiganaji gani wanaanza kama kina matumla.Spurs Full timeout
.....ila Clippers hawajaweka gap kubwa inanitia wasiwasi. Wajitahidi kuweka gap kubwa kati ya 15 au hata 20 ingawa kwa mafaza wakianza kuzitungua tatu tatu wanapunguza within few mins.
Huyu Green akianza kuzitungua tatu huku wakimu'hack Jordan ndio game itakapoishia hapo.. CP sasa apumzike kidogo maana naona Spurs wanatumia weakness yake kuattack kwa speed..