NBA Season 2014/2015

NBA Season 2014/2015

its so sad kuona watu wanaisaliti Basketball na kukimbilia kwenye Ndondi....

BAK, Raimundo, steph curry, nyani ngabu, watu8 mnatakiwa muwajibike ktk hili wakuu
 
Aisee gemu bado ipo tight ingawaje naona leo LAC wana adabu ya mchezo...

SAS wakizidiwa wanaharibu game kwa hack a DJ! Nimeona wameitumia kidogo dakika za mwisho za first half.
 
Dah Clippers wanashinda Spurs wanahitaji zile tatu zao .
 
Chris Paul haumii tu Jamal mbayaa jamaa movement za speed wanazidiwa Spurs , walicho na Spurs ujuzi wa game basi leo tatu zinagoma.
 
.....ila Clippers hawajaweka gap kubwa inanitia wasiwasi. Wajitahidi kuweka gap kubwa kati ya 15 au hata 20 ingawa kwa mafaza wakianza kuzitungua tatu tatu wanapunguza within few mins.

hahahahahaha tupo alive kuangalia the injured CP anavyowasulubu hawa grand dadies..

CC: BAK Raimundo Nyani Ngabu Watu8
 
kumbe wote mpo na game mnadekea...kwanini hamkuwa mnashusha updates?
kuna wengine hawana nguvu ya kuangalia LIVE so wanachofanya ni kufuatulia game kwa maandi$hi yetu hapa...

ikawaje wakuu mkaenda kwa mkopo kwa wenzenu ile hali leo kwenu hii ni kama final?
 
.....ila Clippers hawajaweka gap kubwa inanitia wasiwasi. Wajitahidi kuweka gap kubwa kati ya 15 au hata 20 ingawa kwa mafaza wakianza kuzitungua tatu tatu wanapunguza within few mins.

Huyu Green akianza kuzitungua tatu huku wakimu'hack Jordan ndio game itakapoishia hapo.. CP sasa apumzike kidogo maana naona Spurs wanatumia weakness yake kuattack kwa speed..
 
Kama Lakers nataka Spurs wapite West ni ngumu timu nayotaka ishinde NBA ni Golden State.
 
Huyu Green akianza kuzitungua tatu huku wakimu'hack Jordan ndio game itakapoishia hapo.. CP sasa apumzike kidogo maana naona Spurs wanatumia weakness yake kuattack kwa speed..

Clippers offensive team rebound
 
Kuwa so Big si mchezo Davis alienda chini kunyanyuka kwake kama tembo....kudadeki chris Paul hit the buzzer 3point bang 78-79
 
Back
Top Bottom