Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
robo ya mwisho ambayo ndio msema kweli inasubiriwa sasa...
Ngoma ngumu hapa
LAC naona wanaanza kufanya blunders...
Kama wamejisahau hivi
hii game LAC wameamua wenyewe kuipoteza.. Third Quarter walikuwa wanaweza kupiga difference ya point zaidi ya 10 wamezembea tu..
Wanawa'disappoint fans wao, ugenini wanashinda kuja kumaliza game nyumbani wanazingua..
D. Green offensive rebound
Faza umeamua kuwa commentator...?