NBA Season 2014/2015

NBA Season 2014/2015

Chris Paul with 3 again clippers 82 Spurs 81
 
LAC naona wanaanza kufanya blunders...

Kama wamejisahau hivi

hii game LAC wameamua wenyewe kuipoteza.. Third Quarter walikuwa wanaweza kupiga difference ya point zaidi ya 10 wamezembea tu..

Wanawa'disappoint fans wao, ugenini wanashinda kuja kumaliza game nyumbani wanazingua..
 
kwi kwi kwi kwiii game bado yakhe...
 
Hii game bado ngumu kuitabiri 97-97
 
Spurs wanaanza ujuzi wao sasa raha Ya Basketball Sekunde 24 game bado ipo.
 
Mafaza wamengangamara hawataki kuiachia title.
 
Back
Top Bottom