Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah hususan kama wakikutana na Cavs maana zile njemba mbili (LeBron na Kyrie) ni moto wa kuotea mbali.
Sitarajii Chicago wavuke kihunzi cha Cavs but you never know.
Ubaya wa basketball huwa hakuna upsets kwa sababu ya huu utaratibu wa series.
Ndo maana napenda zaidi ligi ya NFL kwa sababu hakuna cha game 2 wala baba yake game 3.
It's one and done na nadhani pia ndio sababu inayofanya football iwe the most popular sport in the US.
Basketball ipo nyuma hata ya baseball kwenye popularity.
Mie nakubaliana nawe kwamba Chicago hawawezi kuwaondoa CAVS na namshangaa sana Charles Barkley kwa kusema kwamba da bulls watawatoa CAVS, ila huwezi kujua kwa mfano wengi tulidhani Spurs watapita na Clippers.
LOL! Kicheko cha gunners kwa raha zako, hawa Memphis ni tishio hawako mbali sana kutie the game.
SourceOAKLAND, Calif. -- Golden State Warriors guard Stephen Curry has been voted the NBA's 2014-15 Most Valuable Player, according to league sources.
Sources told ESPN.com that Curry will be officially recognized as the league's MVP as early as Monday and is likely to receive the trophy in a ceremony before Game 2 of the Western Conference semifinals against the Memphis Grizzlies on Tuesday.
Comcast SportsNet Bay Area first reported Sunday that Curry had won the MVP race.
Yeah hususan kama wakikutana na Cavs maana zile njemba mbili (LeBron na Kyrie) ni moto wa kuotea mbali.
Sitarajii Chicago wavuke kihunzi cha Cavs but you never know.
Ubaya wa basketball huwa hakuna upsets kwa sababu ya huu utaratibu wa series.
Ndo maana napenda zaidi ligi ya NFL kwa sababu hakuna cha game 2 wala baba yake game 3.
It's one and done na nadhani pia ndio sababu inayofanya football iwe the most popular sport in the US.
Basketball ipo nyuma hata ya baseball kwenye popularity.
Mkuu kumbe na wewe unafagilia NFL! The same mind here. And I think it's how spectacular its games are, another reason why Americans love it the most.
Dah, nafuu asee, tena fellow Pats fan!. Asee mkuu imekuwa poa sana asee. Coz sikutegemea kukutana na hata mfuasi mmoja wa NFL humu JF!. most of the times unajikuta unashindwa share the victory/defeat news na mtu coz hawaelewi kitu chochote.
You on point, bruv!. Zile spectacular catches za kina Ordel Beckham, Gronk, na upsetting comebacks ka za kina Seahawks zilivyo exhilarating af unakosa mtu wa kushare nae!
Mazee unaangalia First Take?
Skip Bayless is hilarious.
Kwa vile kapoteza bet basi leo kavaa TMT tshirt na kapelo.
Ahahahahaaaaaa.