Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hakuna cha 3 mbele ya Tony Allen "First team all defense".
Klay kila akishtuka anajua TA yuko karibu, hadi kwenye FTs anakosa kwa kudhani anakabwa, mijamaa imeharibu show kabisa.
Leo kinawaka pia.
Teh teh teh...kwa hiyo Klay anakuwa anahisi kama kuwa TA yupo nyuma hata kama hayupo?
That shit is funny as hell.
If GS drops tonight's game, it's a wrap.