Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
They are capable of going all the way to NBA Finals.
Ni kama game ya jana namna Memphis alivyokimbizwa...
Walikuwa wavivu wavivu kama hivi leo Bulls walivyo...
CAVS wameponea chupu chupu
Wanadai ana tendinitis. Sijui kwanini hawampumzishi maana anavyoendelea kucheza ndio anazidi kuumiza ankle.
Yaani anavyokimbia unaona kabisa kuwa ana maumivu.
Hopefully watashinda game ya 6 ili walau aweze kupata muda wa kutosha kupumzika na kupata matibabu muafaka.
Hii game ya Hawks na Wizards hizi dakika za mwisho hakuna anayetaka kushinda. Haya with 14.9 seconds to go ngoja tuone kama kutakuwa na Buzzer Beater nyingine toka kwa PP.