NBA Season 2014/2015

NBA Season 2014/2015

They are capable of going all the way to NBA Finals.

Yeah, but with LeBron (he was limping the other day but hopefully it's nothing serious) and Kyrie banged up, they are shorthanded.

Anyway we'll see.

But tonight he (LeBron) is butter because he's on a roll.....
 
Ni kama game ya jana namna Memphis alivyokimbizwa...

Walikuwa wavivu wavivu kama hivi leo Bulls walivyo...

Mimi wakati mwingine hata sielewi huwa inakuwaje.

Kwenye game 4 Bulls walicheza kwa gusto licha ya kufungwa lakini leo wamebadilika wamekuwa magoigoi kweli.

I mean, what the hell is this?

It just doesn't compute to me.
 
Da Bulls seem to have found second wind but it may be too little too late.

But then again it ain't over till the fat lady sings.
 
Da Bulls are within 2 with 40-some seconds to the end of regulation.....damn!
 
CAVS wameponea chupu chupu

Yeah wame-dodge bullet leo.

Sitashangaa hii series ikienda hadi game ya 7 maana Bulls siyo wabaya kivile sema wako inconsistent mno.

Madogo wa Milwaukee waliwapelekesha hadi game ya 6 kama sijakosea....
 
Wanadai ana tendinitis. Sijui kwanini hawampumzishi maana anavyoendelea kucheza ndio anazidi kuumiza ankle.

Yaani anavyokimbia unaona kabisa kuwa ana maumivu.

Hopefully watashinda game ya 6 ili walau aweze kupata muda wa kutosha kupumzika na kupata matibabu muafaka.
 
Nakumbuka Grant Hill naye aliumia ankle wakati yuko Detroit lakini akaamua kuendelea kucheza huku akichechemea. Baada ya kutolewa kwenye playoffs ikabidi awaone wataalam na hitimisho lilikuwa ni lazima afanyiwe surgery. Kama sikosei kulikuwa na surgery tano au sita nyingine ndipo ankle ilipotengemaa na kuweza kuendelea na uchezaji lakini tayari alishakuwa frustrated kiasi cha kufikiria kujiuzulu.

Yaani anavyokimbia unaona kabisa kuwa ana maumivu.

Hopefully watashinda game ya 6 ili walau aweze kupata muda wa kutosha kupumzika na kupata matibabu muafaka.
 
hawakukutana barabarani.................
paul_and_duncan.0.0.jpg
maxresdefault.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
T.A will not play tonight.. tatizo la kutumia nguvu nyingi kuliko akili hili
 
Hii game ya Hawks na Wizards hizi dakika za mwisho hakuna anayetaka kushinda. Haya with 14.9 seconds to go ngoja tuone kama kutakuwa na Buzzer Beater nyingine toka kwa PP.
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....Chezeya Paul Pierce weye!
 
Hii game ya Hawks na Wizards hizi dakika za mwisho hakuna anayetaka kushinda. Haya with 14.9 seconds to go ngoja tuone kama kutakuwa na Buzzer Beater nyingine toka kwa PP.

Hivi kwa nini huyu Paul Pierce bado anacheza basketball?

Damn him.
 
WOW! What a game!
 
Back
Top Bottom