Hahahahahaha Mkuu weekend hizi bana achana nazo tu..
Hata wewe kule kwa Arsenal hukuwepo wakati wa game kama kawaida yako
hahahahaha lol! nilikuwepo ila niliamua kutulia kukodolea macho TV, sikutaka kupitwa na hata sekunde moja. Si unajua hapa #Mburukenge na kelele zao lol! Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee tumepoteza points 2 muhimu sana leo.
I like his attitude, they still have a chance to win, but they need to care of the ball.
Nyani I wish I could join you to pull a Charles Barkley. I want Clippers to win this game badly, but in reality I know that won't happen especially taking into consideration that they were leading this series 3-1 and game six at home they were up by 19 points but somehow they were able to find a way to fumble that game. It is only one hour to go before tip off but I am sure that Houston will play in Western Conference finals. Enjoy the game guys.
Hahahahahahah lol! Kwani tuliwachapa wapi ili kuingia kwenye fainali ya FA Cup? Umeshasahau au ndio pretending? lol!
Khe khe kheeeeeeeeeee now we got game CC: Nyani Ngabu. Clippers wakishinda itakuwa poa sana.
mchezo ulianza kwa kasi japo turnovers zilikuwa nyingi....maajabu ya mwaka ni Cris Paul...mpaka bado dk 2(kabla ya half time) hakuwa na assist hata moja....
I told Nyani Ngabu, am not gonna be Charles Barkley on this game. I bet, he is already started having some fun with what he bought at the LS!.