BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
- Thread starter
- #1,121
hahahahaha lol! nilikuwepo ila niliamua kutulia kukodolea macho TV, sikutaka kupitwa na hata sekunde moja. Si unajua hapa #Mburukenge na kelele zao lol! Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee tumepoteza points 2 muhimu sana leo.
Hahahahahaha Mkuu weekend hizi bana achana nazo tu..
Hata wewe kule kwa Arsenal hukuwepo wakati wa game kama kawaida yako