Too close to call, I LOVE THIS GAME.
Mhm huku cleveland na pacers ,,james kashaumia mkono wake...
Warriors wakicheza kama Warriors wanashinda kirahisi sana hii game.. Hawks ni weupe sana.. Curry sasa acheze kama Curry. Bado naona warriors wanashinda kama wakicheza game yao ya kawaida si hii ya defense na kumiss shots za kijinga
umesahau warriors ndio no.1 defence in the league??
atlanta wanaweza kushinda hii game, na wakishinda itazidi kuwapa confidence katika michezo iliyobaki kwenye regular season na pia kwenye playoffs.