NBA Season 2014/2015

NBA Season 2014/2015

Warriors wakicheza kama Warriors wanashinda kirahisi sana hii game.. Hawks ni weupe sana.. Curry sasa acheze kama Curry. Bado naona warriors wanashinda kama wakicheza game yao ya kawaida si hii ya defense na kumiss shots za kijinga
 
umesahau warriors ndio no.1 defence in the league??
 
hizi turnovers zitaicost warriors
 
hizi sucker punches walizoanza nazo ATL zinanitia kiwewe...
 
splash brothers are yet to show their perimeter shooting skills...
 
great spirit on the hawks side now
 
bogut,,,too much fouls bana
 
end of 3rd quarter GSW 84 ATL 89
 
Cleveland 96 pacers 99 11sec remaining
 
Atlanta wanaweza kushinda hii game, na wakishinda itazidi kuwapa confidence katika michezo iliyobaki kwenye regular season na pia kwenye playoffs.

end of 3rd quarter GSW 84 ATL 89
 
Cleveland winning streak is over
 
atlanta wanaweza kushinda hii game, na wakishinda itazidi kuwapa confidence katika michezo iliyobaki kwenye regular season na pia kwenye playoffs.

kabisa...i can see that coming...halafu washanikatia umeme....sitamaliza mechi
 
.....at 12 games, labda uchovu wa kucheza jana na leo, waliweka gap kubwa nikadhani watashinda huu mchezo.

Cleveland winning streak is over
 
2015-02-0618_29_40.gif
 
Back
Top Bottom