Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sweep on making...
Nilikuwa nataka kabisa hawa Hawks washinde ili GSW tujipigie kwa urahisi on finals lakini wameniangusha
he!korver anamkwepa LBJ!!!!!:becky:
Sikuweza kuangalia hii game, nimeona clip jamaa alivyokimbia, dah! Aibu.
hahahahaha labda alikuwa anaogopa 3 point play..
Lakini ni ujinga kuogopa 3 Point play wakati alikuwa wanahack Thompson..
Ingekuwa juu yangu, ikifika game ya 3 hakuna ushindani wa maana nafutilia mbali games zilizosalia.
Sasa kwa mfano hawa Rockets hata hawastahili kabisa kuwepo kwenye conference finals.
Nini maana ya kuendelea na hii series?
Heri itangazwe tu kuwa GS wameingia kwenye fainali wasubiri huko east nako kutakuwaje.
Nako kama hakuna ushindani wa maana tangaza tu CAVS wameingia fainali, basi.

Yaani wanacheza kizembe sana turnovers kibao halafu defence yao hovyooooo , pamoja na kutaka GSW washinde lakini hawa Houston wapo wapo tu utadhani wanacheza pre season game. Hizi playoffs za mwaka huu ukiondoa Clippers na Spurs, ratings zitakuwa chini sana.