NBA Season 2014/2015

NBA Season 2014/2015

Hawa CAVS kesho itabidi tuwatafutie strippers tena sampuli za kina Maliah......
 
DeMarre Carroll suffers a leg injury, leaves game. He was Hawks leading scorer in 6 of the 12 games so far in these playof
 
its over...................lets see game 2...
 
Sweep on making...

Nilikuwa nataka kabisa hawa Hawks washinde ili GSW tujipigie kwa urahisi on finals lakini wameniangusha
 
hahahahaha labda alikuwa anaogopa 3 point play..

Lakini ni ujinga kuogopa 3 Point play wakati alikuwa wanahack Thompson..

We ile spidi ilikuwa siyo, jamaa kajua nikikaa njiani ntaumia! Umeona kwanza alivyotoka mbio!
 
Last night: stars at the highlight factory in Hotlanta.

Usher-Raymond-at-Cavs-SPL.jpg

Even Stephen A was in the building

Luda-Stephen-A-Smith-at-Cavs-SPL.jpg

Money May got booed when they showed his face on the jumbotron

Floyd-Mayweather-at-Cavs-SPL.jpg

Peace up, A town down.....Ryan Cameron and The Dream......it's really refreshing to see how much support the Hawks are getting from hometown folks.

Ryan-Cameron-and-The-Dream-SPL.jpg

Now they just need to take game 2.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ingekuwa juu yangu, ikifika game ya 3 hakuna ushindani wa maana nafutilia mbali games zilizosalia.

Sasa kwa mfano hawa Rockets hata hawastahili kabisa kuwepo kwenye conference finals.

Nini maana ya kuendelea na hii series?

Heri itangazwe tu kuwa GS wameingia kwenye fainali wasubiri huko east nako kutakuwaje.

Nako kama hakuna ushindani wa maana tangaza tu CAVS wameingia fainali, basi.
 
Yaani wanacheza kizembe sana turnovers kibao halafu defence yao hovyooooo , pamoja na kutaka GSW washinde lakini hawa Houston wapo wapo tu utadhani wanacheza pre season game. Hizi playoffs za mwaka huu ukiondoa Clippers na Spurs, ratings zitakuwa chini sana.

Wanafanya surprise games, wametie up tayari.

Kama wakiendelea na huu mwendo si mbaya.
 
Yaani wanacheza kizembe sana turnovers kibao halafu defence yao hovyooooo , pamoja na kutaka GSW washinde lakini hawa Houston wapo wapo tu utadhani wanacheza pre season game. Hizi playoffs za mwaka huu ukiondoa Clippers na Spurs, ratings zitakuwa chini sana.

Walau Spurs walitoka vile ambavyo mabingwa watetezi wanavyotakiwa kutoka maana mchezo ulienda hadi sekunde ya mwisho kabisa katika mchezo wa mwisho.

Ingawa nilisikitika wao kutolewa lakini nilifurahi jinsi walivyopigana kwa ujumla. Kwamba hatoki mtu kirahisi rahisi tu.

Mpaka sasa nadhani hiyo ndo series bora zaidi kuliko zote ambazo zimeshachezwa.

Na kuna watu wengi tu walilalamika jinsi ambavyo hiyo series ilivyokuwa.

Wapo waliodai kwamba hizo timu hazikutakiwa kukutana kwenye duru ya kwanza ya mechi za mtoano.
 
Back
Top Bottom