Huyu Thompson!😳 Nadhani Warriors wanataka kufunga biashara usiku huu!
Dah midevu saa ingine huwa unstoppable....saa ingine hata haeleweki!
Dah midevu saa ingine huwa unstoppable....saa ingine hata haeleweki!
Hii ni clean sweep, the HAWKS stand no chance.Naamin Cav wanashinda today game
James anatoa show leo, Kyrie ndani!
Atlanta kinanuka leo.
Halafu LeBron ana injuries kibao lakini kakomaa hadi kieleweke...
Juzi alikua hadi anachechemea, akaulizwa vipi game ya keshokutwa(leo) utapumzika?
Hahaha...akajibu tu hilo sahau
Dah! Lijamaa lina energy ya kutosha aisee, afu inaonekana Atl wameshindwa kabisa kumkaba, bora Bulls walijitahidi kidogo.
Aisee...CAVS anaweza kupigwa super, wale watoto ni balaa. Labda wamtegue kiuno Curry!.Ngoja sasa CAVS wakutane na sniper wa GS.
Halafu nahisi kama vile Kevin Love anaweza kurudi kwenye finals.