Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mazee, hivi umeangalia percentage ya three point shooting ya CAVS kwenye hizi playoffs....it's just as good as Golden State's.
Na sasa CAVS wana siku 9 kamili za mapumziko hadi kuanza kwa fainali. Huo ni muda ambao Kyrie atautumia kupumzisha viuongo vyake.
Halafu sijui kwa nini tu nahisi Kevin Love anaweza kurudi kwenye hizi finals maana itakuwa karibu miezi mwili (kama sijakosea) tokea afanyiwe upasuaji.
Hata Kevin Love asiporudi, kwa jinsi ambavyo Shumpert na J.R. wanavyo shoot sasa hivi...bila kumsahau Delly, hizi finals at least on paper, nadhani timu zote zina nafasi sawa kushinda ubingwa.
ESPN power index inawapa GS uwezekano mkubwa wa kushinda, kama asilimia 72 hivi....sidhani kama nakubaliana na hiyo asilimia.
Anyway we shall see. The game is played and won on the court and not in online blogs or forums.
*Halafu hawa CAVS na GS wamshukuru sana Chris Paul kwa kutumbukiza kile kikapu sekunde za mwisho kwenye ile series dhidi ya Spurs. La sivyo sasa hivi tungekuwa tunaongelea potentially finals kati ya Spurs na CAVS*
Kwa wale wapenzi wa Scripps National Spelling Bee....ni kesho live on ESPN @8P/7C.
Ni kweli.. hata mimi siwapi karata yangu GSW japo ni timu yangu pendwa.. Sababu moja ya kutowapa karata yangu ni Lebron James ambaye hatataka kupoteza hizi final hata iweje. Lakini kama Kyrie na Love hawatakuwa kwenye kiwango kizuri Lebron alone hawezi kuwasimamisha GSW. Korver sio kwamba aliwekewa ulinzi mzuri sana na Cavs bali hizi play offs zote he lost his 3 point range. Nakumbuka game yao na Wizards alishoot 9 na alipata 1 pekee.. Game 1 against Cavs alishoot almost above 9 na hakupata zaidi ya 3.. Cavs wasitegemee hizi bahati kuwakuta kwa akina Curry, Thompson Curry alivyokuwa in a medical room his range returned na alipiga 3,3 za fasta akaforce game to 7 points. GSW just need Curry and Klay 3 points more than anything on final. Kama Klay akipata moto na ule moto wake wa regular season ukirudi bila shaka hatutaweza pata mshindi mpaka game 7.
Lakini pia, kama Kyrie na Love hawatakuwa vizuri, narudia, Lebron hawezi kuwamaliza GSW. Cavs needs Kyrie and Love to be 100% fit more than GSW needs Klay's splash.. Na ninahamini hapa tutashuhudia hadi game 7 hata kwa marefa kununuliwa. NBA washapata hasara ya almost 5 games (kama GSW atashinda leo) kwenye conference finals sidhani kama hii watakubali ijirudie kwenye final
Harafu James kawapa confidence sana jamaa zake, napenda kazi anayoifanya Thompson na Delly kwenye rebounds na kuharibu mipango ya maadui.
JR Smith na Shumpert wako moto mbaya, Mozgov dah! Sioni kwa nini GSW asikae huku James anawabully kina D Green na Bogut.
Threes zitapigwa huku na huku, advantage kubwa ya CAVs ni James kwenye paint, driving unstopable layups.
Advertise ya kwanza ni kuwin game pale Oracle.
Sijakuelewa MVP Steph Curry, ni emerge kwenye thread ipi? I need your clarification please!
I don't have that authority Mkuu, but they (MODS) will be able to fulfill your request.
So far hii game ni winnable kabisa kwa Rockets lakini mi turnover itawalostisha.