NBA Season 2014/2015

NBA Season 2014/2015

Kwa wale wapenzi wa Scripps National Spelling Bee....ni kesho live on ESPN @8P/7C.
 
Mazee, hivi umeangalia percentage ya three point shooting ya CAVS kwenye hizi playoffs....it's just as good as Golden State's.

Na sasa CAVS wana siku 9 kamili za mapumziko hadi kuanza kwa fainali. Huo ni muda ambao Kyrie atautumia kupumzisha viuongo vyake.

Halafu sijui kwa nini tu nahisi Kevin Love anaweza kurudi kwenye hizi finals maana itakuwa karibu miezi mwili (kama sijakosea) tokea afanyiwe upasuaji.

Hata Kevin Love asiporudi, kwa jinsi ambavyo Shumpert na J.R. wanavyo shoot sasa hivi...bila kumsahau Delly, hizi finals at least on paper, nadhani timu zote zina nafasi sawa kushinda ubingwa.

ESPN power index inawapa GS uwezekano mkubwa wa kushinda, kama asilimia 72 hivi....sidhani kama nakubaliana na hiyo asilimia.

Anyway we shall see. The game is played and won on the court and not in online blogs or forums.

*Halafu hawa CAVS na GS wamshukuru sana Chris Paul kwa kutumbukiza kile kikapu sekunde za mwisho kwenye ile series dhidi ya Spurs. La sivyo sasa hivi tungekuwa tunaongelea potentially finals kati ya Spurs na CAVS*

Mimi naomba Love aendelee kukaa bench, kwa sababu kazi ya Thompson na Delly ni tosha kabisa kumpoteza Klay, James atadili na Curry huku D Green and the rest wahangaishane na Kyrie ambaye nadhani atakuwa ameshapona.

Kama unavyosema, we have great finals on paper. CAVs wako vizuri kwenye 3 points pia, na defence wako vizuri sana ingawa stats zinasema GSW wana D nzuri.
 
Ni kweli.. hata mimi siwapi karata yangu GSW japo ni timu yangu pendwa.. Sababu moja ya kutowapa karata yangu ni Lebron James ambaye hatataka kupoteza hizi final hata iweje. Lakini kama Kyrie na Love hawatakuwa kwenye kiwango kizuri Lebron alone hawezi kuwasimamisha GSW. Korver sio kwamba aliwekewa ulinzi mzuri sana na Cavs bali hizi play offs zote he lost his 3 point range. Nakumbuka game yao na Wizards alishoot 9 na alipata 1 pekee.. Game 1 against Cavs alishoot almost above 9 na hakupata zaidi ya 3.. Cavs wasitegemee hizi bahati kuwakuta kwa akina Curry, Thompson Curry alivyokuwa in a medical room his range returned na alipiga 3,3 za fasta akaforce game to 7 points. GSW just need Curry and Klay 3 points more than anything on final. Kama Klay akipata moto na ule moto wake wa regular season ukirudi bila shaka hatutaweza pata mshindi mpaka game 7.

Lakini pia, kama Kyrie na Love hawatakuwa vizuri, narudia, Lebron hawezi kuwamaliza GSW. Cavs needs Kyrie and Love to be 100% fit more than GSW needs Klay's splash.. Na ninahamini hapa tutashuhudia hadi game 7 hata kwa marefa kununuliwa. NBA washapata hasara ya almost 5 games (kama GSW atashinda leo) kwenye conference finals sidhani kama hii watakubali ijirudie kwenye final



Harafu James kawapa confidence sana jamaa zake, napenda kazi anayoifanya Thompson na Delly kwenye rebounds na kuharibu mipango ya maadui.

JR Smith na Shumpert wako moto mbaya, Mozgov dah! Sioni kwa nini GSW asikae huku James anawabully kina D Green na Bogut.

Threes zitapigwa huku na huku, advantage kubwa ya CAVs ni James kwenye paint, driving unstopable layups.

Advertise ya kwanza ni kuwin game pale Oracle.
 
Harafu James kawapa confidence sana jamaa zake, napenda kazi anayoifanya Thompson na Delly kwenye rebounds na kuharibu mipango ya maadui.

JR Smith na Shumpert wako moto mbaya, Mozgov dah! Sioni kwa nini GSW asikae huku James anawabully kina D Green na Bogut.

Threes zitapigwa huku na huku, advantage kubwa ya CAVs ni James kwenye paint, driving unstopable layups.

Advertise ya kwanza ni kuwin game pale Oracle.

hahahahaha I gave Cavs 60% of winning lakini always bet zako angainst GSW zinafeli.. Sasa nawapa wote 50% and kama GSW watashinda the first game nina uhakika wa 80% wao kushinda..

Haya maneno ya defense na frustrations tuliyasikia siku nyingi, lakini bado tukasonga. 2-1 against Grizz watu walikata ngebe sana hapa lakini wote wakakaa kimya, tena walikaa game 3 mfululizo kwa double digits, 2 wakiwa kwao. Eti unasema defense ya Cavs ni tishio?? Pelicans na Grizz wana defense za kutisha lakini walikaa, ati unasema Thompson na Curry watawekewa defense washindwe kutungua 3,3.. Defense ambayo ilikuwa inamruhusu Korver kutungua open 3's sema tu alikuwa anazikosa kwasababu ya kutokuwa katika peak yake.

Watu wanataka kuipa ushindi mrahisi Cavs sababu tu ya sweep yao kwa ATL.. ATL haijacheza vema hizi play offs zote, Brooklyn Nets wenyewe walienda mpaka game 6, timu ambayo ni 8 seed. Wizard walienda mpaka 7 tena mpaka sekunde ya mwisho kabisa, ni ile buzzer ya PP iliwaokoa kwakuwa mpira ulikua mkononi at 0m. Hao Wizzard ni 5 seed. Ninaamini GSW wamecheza na timu ngumu kuliko Cavs kwenye hizi Play offs na bila shaka wanazitoa kwa uwezo na si kwa watu kuleta visingizio ati timu flani haieleweki. Against Pelicans, zile 20 points come back watu humu walisema Pelicans ni wajinga, 3 strainght wins against Grizz kwa double digits watu waliwabeza Grizz, hii domination kwa Rockets pia bado wanaitupia lawama Rockets.
Tyta alisema, sportsman gives credit to their opponents when it's needed, GSW deserved to be where they are sio tu kwa visingizio vya timu pinzani kutoku'compete bali uwezo wa GSW ulikuwa juu yao. Nasema hapa, hata hawa Cavs ikitokea wakapigwa watu hawataipa credit GSW bali matusi kwa kina Lebron na visingizio vingine.

Ikitokea GSW wakashinda first game, Mkuu BAK naomba uimerge hii post kule kwenye thread..
 
Sijakuelewa MVP Steph Curry, ni emerge kwenye thread ipi? I need your clarification please!
 
Last edited by a moderator:
I don't have that authority Mkuu, but they (MODS) will be able to fulfill your request.

Muda ukifikaa na ikitimia nitawaomba Mods wafanye hivyo.. Nilikuwa nataka go ahead yako tu. Shukrani
 
Huyu Curry ni kama bado ana maruerue ya maumivu ya alivyoanguka juzi...
 
So far hii game ni winnable kabisa kwa Rockets lakini mi turnover itawalostisha.

Rockets wanaonekana hawana mpango na ushindi...

Hii mechi ilikuwa yao kabisa maana GSW hawapo vizuri leo...

Ila ndio wazembe kupindukia, kwa mchezo huu leo ndio mwisho wa safari yao msimu huu...
 
CGEIXHiW8AExlRr.jpg
 
Steph Curry will become 1st player NBA history to face each of other 4 members of 1st-team All-NBA in same playoffs.
CGEPBUYUEAI0IbL.jpg
 
Now it's LeBron vs. Curry.

King James vs. the Baby-Faced Assassin.
The four-time NBA MVP vs. the newly crowned MVP.
 
Steph Curry

Ushabiki ni pamoja na kutengeneza hype ya mchezo, hata kama unaujua ubora wa adui huwezi kudeclare kwenye public kwamba atanifunga.

Lazima ujipe morali kwa kuuambia uma kwamba utamshinda adui tena ushindi mkubwa. Na kwenye Sports criticism is part of the game. Mfano James ana ring 2 lakini bado watu wana zi-discredit kwa kudai bila Wade na Bosh asingezipata, alifata rings Miami etc, so ni kawaida.

Narudia tena kusema Cavs atamshinda GSW. Hata kama GSW atashinda game 1, bado game 2 kina James watashinda.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom