..nilisikitika sana siku hiyo niko job..nikaambiwa "eti" yupo don bosco
NkyaH;
Alikuja nakumbuka ilikuwa kitu kama July au August, siku aliyocheza game pale Don Bosco nilikuwa shamba Morogoro, ilikuwa Jumamosi nilisikitika kweli kushindwa kwenda kumwona!
Nilianza kuwa interested naye baada ya kuona game moja alifunga 54 points, hafu anapiga 3s za kutosha, nafikiri ule msimu alivunja rekodi ya Ray Allen kwenye 3 points (sina uhakika sana na hii).
Daaah ndo basi tena.. Sidhani kama his next time to Africa atakuja tena Tanzania..
Kweli, labda aje mwingine tena, rotation yetu imeshaisha.
BTW, kuamkia Ijumaa GSW wana game na kina LeBron, hope ni show nyingine tena ya kuangalia!
Clevs naona nao wako moto kweli sasahivi.. kule kwa kina Westbrook gari nayo ishawaka... Hii round tutapata game nyingi sana nzuri za kuangalia. Ijumaa tuwe wote hapa hayo majira
Cavs wameongeza wachezaji wanne; Timofey Mozgov, Kendrick Perkins, Iman Shumpert na J R Smith ni moto.
Huyo LeBron kipindi hiki nae anakuwa mmakonde kama Westbrook
Hizi habari kwamba Derrick Rose anaweza ku retire za kweli jameni? Dah namuonea huruma mshkaji , magoti yake sjui yana matatizo gani