Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
I did not expect Clippers' win tonight, but they did it. Hopefully they will be able to take advantage of their home court.
My prayers with Clippers PLZ.. keh keh keh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I did not expect Clippers' win tonight, but they did it. Hopefully they will be able to take advantage of their home court.
My prayers with Clippers PLZ.. keh keh keh
Mie siwapendi hao mafaza, Clippers wakifanya vitu vyao kesho nitafurahi sana na mlango kuzidi kuwa wazi kwa GSW kumaliza msimu kama walivyouanza, ila itakuwa kivumbi na jasho na wale CAVS.

Ila SAS huwa wana kismati sana wale wazee...
Hata mimi natamani kuwaona Clippers wakimaliza game 7 kwa ushindi...

mkuu mi nahisi hicho kitu ni kigumu sana...ni sawa na leo hii wewe ujing'ate mgongoni.
spurs ni timu pekee inayoweza kukuadhibu kipigo cha mwana ukome nyumbani kwako.
ni timu inayocheza leo huku ikiwa na malengo ya kesho.
sintashangaa Clippers akisasambuliwa palepale home kwake.
My prayers with Clippers PLZ.. keh keh keh
Ila SAS huwa wana kismati sana wale wazee...
Hata mimi natamani kuwaona Clippers wakimaliza game 7 kwa ushindi...
Mie siwapendi hao mafaza, Clippers wakifanya vitu vyao kesho nitafurahi sana na mlango kuzidi kuwa wazi kwa GSW kumaliza msimu kama walivyouanza, ila itakuwa kivumbi na jasho na wale CAVS.
Ha ha ha! Picking the weak opponent!
hahahahaha wangekuwa weak wasingefika kote huko..
Ila leo nahisi LAC wanashinda game!
Ndio wakaze sasa.. sio kushinda away alafu unaenda kufungwa kwenu.. watawadisappoint mashabiki wao