NBA Season 2014/2015

NBA Season 2014/2015

Mwisho wa siku tunarudi kwa msemo "May the best team win!". GSW might have put down 'the greatest show' and all the hype in the regular season and the earlier sweep, but the series has just got more than competitive now. No hype will save a team here, it's sheer team effort if grandest scales or GO HOME!
 
OKC wanacheza game sawa na GSW, wote wanaprefer offense zaidi, so hii itakuwa open game! Ila kwa wakongwe wa defense kama Memphis wanakaa game 6.

Lazima wakae...majitu yamekomaa,height kama trees na defence ya kufa mtu,lazima madogo wakae aisee

Wakikutana na Memphis/SAS wanapigwa frustrations za kufa mtu mpaka wachanganyikiwe, na hapo ndiyo shooting inapotea! Nakumbuka mwaka jana Memphis waliwakazia OKC mpaka Zach Randolph akapigwa ban game 7 ndiyo ilikuwa pona pona yao!

We will bounce back.. Tulimiss lots of free throws, When we were down to 5 Green alifanya upumbavu kutaka kwenda kuscore mwenyewe aonekane a hero wakati shooters walikuwa wide and free

Nimekuwekea quotes za posts zilizoko page ya pili ya hii thread! Bado naendelea na msimamo wangu kwamba GSW hamwezi Memphis!

GSW wamecheza kwa style moja tu msimu mzimu mzima, sina uhakika kama wanao uwezo wa kuchange tactics kwa hiki kipindi kifupi sana, maana hiyo wanayoitumia imeshapata dawa.

Game 4 ni must win kwa GSW, otherwise wameaga.
 
Nimekuwekea quotes za posts zilizoko page ya pili ya hii thread! Bado naendelea na msimamo wangu kwamba GSW hamwezi Memphis!

GSW wamecheza kwa style moja tu msimu mzimu mzima, sina uhakika kama wanao uwezo wa kuchange tactics kwa hiki kipindi kifupi sana, maana hiyo wanayoitumia imeshapata dawa.

Game 4 ni must win kwa GSW, otherwise wameaga.

Mkuu sana, hapa majuzi tulivyoshinda game 1 hata wewe ulikiri basi tumefika West Finals.. Kupotea hizi game 2 za mwisho isiwe sababu ya kuitoa kwenye race kiasi hicho..

LAC na Spurs ilikua hivi hivi.. walianza LAC kushinda ila Spurs akapindua 2-1 lakini mwisho walitoka..

Game ijayo Curry na Klay watapiga busket zaidi ya 48.. I can bet here at any price !!
 
Msaada Link niweze tizama Game 4 ya Bulls naona Mchuano ni Mkali Clevaland alianza kwa kasi ila quoter ya tatu jasho linamtoka keshapitwa point
 
11230611_10153344611623643_7620136273594463077_n.jpg
 
Back
Top Bottom