Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, we wape matumaini tu. Curry kapata dawa yake!.Hahahahah lol! haya bana lakini si unamjua Curry? anaweza akapiga tatu tatu kama 10 :msela:hivi kibao kikageuka.
[h=1]A Warriors win would be historic[/h]Hahahahah lol! haya bana lakini si unamjua Curry? anaweza akapiga tatu tatu kama 10 :msela:hivi kibao kikageuka.
Hahahahah lol! haya bana lakini si unamjua Curry? anaweza akapiga tatu tatu kama 10 :msela:hivi kibao kikageuka.
Bado nina imani na Warriors, call me a diehard fan...ni watoto wa nyumbani!
Huyo Dellavedova unaambiwa alikuwa mcheza Rugby Bwana, Curry kazi kwake!.huyu Dellavedova ana balaaaa.. ndio derick rose alikosa raha kabisa.
hii series kukosekana kwa love na irving ni advantage kwa cavs.
maana wanatumia bench players ambao wanagombania namba na wanataka mikataba minono.. lazima wakaze
huyu Dellavedova ana balaaaa.. ndio derick rose alikosa raha kabisa.
hii series kukosekana kwa love na irving ni advantage kwa cavs.
maana wanatumia bench players ambao wanagombania namba na wanataka mikataba minono.. lazima wakaze
Si unawaona Mkuu, the 20 points deficit has been reduced to 6 with 6.20 mins to go.
to me is a win win situation.though I root for GSW more...4pt deficit..
I agree they deserve to win this game, but it is anybody's game now.