Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
I still have hopes.. Ila Kerr sometimes anatuangusha, David Lee alifanya poa sana alivyoanza Q4 sijui kwanini alimtoa katikati mwa Q4 na kumrudisha Ezeli wakati tulishapunguza gap la point na kubaki 4 tu..
Nadhani Iggy na David Lee wanatakiwa kuanza next game, Barnes na Green wapumzike sasa ili wakiwa wanatoka bench wakaze.. Green wakati mwingine anasababisha turn overs za kijinga kabisa
Jipangeni vizuri mje game 4 upya ili mtoe upinzani! Sio vizuri series za final kuwa za upande mmoja!!!
Tunawapiga game 4, tunawaacha mshinde kwenu ili ubingwa tubebee kwentu, maana sio vizuri kuchukulia ubingwa kwa adui!