NBA Season 2014/2015

NBA Season 2014/2015

CAVS wametumia sana nguvu games 3 za mwanzo...

Sasa hivi kila mchezaji wao kachoka na hii game huenda wakapigwa leo...

7 man rotation(miller..insignificant)...against 11 man rotation..
 
Hahahahahahah lol! Good night to you too ukiamka asubuhi utakuta CAVS wameshinda wanaongoza series 3-1 🙂🙂 umenikumbusha enzi za Michael Jordan and Da Bulls wakati wa playoffs nilikuwa sitaki kabisa kuangalia pale ambapo Da Bulls walikuwa wanaelemewa au Da bulls wakiwa down/up for one or 2 points with few seconds to go.

I don't feel like watching this game tonight, have a good one folks!.
 
Hahahahahahah lol! Good night to you too ukiamka asubuhi utakuta CAVS wameshinda wanaongoza series 3-1 🙂🙂 umenikumbusha enzi za Michael Jordan and Da Bulls wakati wa playoffs nilikuwa sitaki kabisa kuangalia pale ambapo Da Bulls walikuwa wanaelemewa au Da bulls wakiwa down/up for one or 2 points with few seconds to go.

Man how I miss them days.

That finals game against the Utah Jazz was one for the books.

Nakumbuka kwenye hizo fainali nilikuwa nachukua summer school na darasani kulikuwa na vibibi ambavyo hata si vishabiki vya michezo hususan mpira wa kikapu lakini vilikuwa vinatinga jezi za Jordan na kutazama gemu zote.

Hiyo ndo ilikuwa impact ya Jordan....kuvuta hata watu ambao hawakuwa wapenzi wa kikapu na kuanza kufuatilia kwa makini mchezo mzima.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Denis Rodman Vs Karl Malone!.
 
Utah Jazz vs Chicago Bulls, that was classic!
 
[h=1]Warriors defense golden in the fourth[/h]
 
GS are going to win this series.

Mark my words (because they are a better team than the Irving and Love-less CAVS).

Had those two been playing CAVS most likely would have won in 6.

But them not playing is water under the bridge now.
 
LeBron James points in the fourth quarter. 2011 Finals Game 4: 0 2014 Finals Game 4: 0 2015 Finals Game 4: 0
 
[h=1]LeBron seeing much more of Iguodala[/h]LeBron James is 18-of-54 (33.3%) against Andre Iguodala for the series. By starting, Iguodala was able to guard James more frequently. When James was on court in Game 4, 63% of the Cavaliers' possession finished with Iguodala on James (48% in Games 1-3)
 
Warriors remain only team in NBA to not lose 3 straight this season. GSW improves to 6-0 after back-to-back losses.
CHRWMsUWsAAzQob.jpg
 
Never underestimate the Warriors, I have never made that mistake!

I'm completely discombobulated by LJ's performance...

Dunno what was happening with him tonight, he couldnt even knocks down 'em free throws...
 
Back
Top Bottom