Raimundo said:
Tyta, Steph Curry! and the rest of GSW fans Conglats!
You deserve!
Right from the beginning I told you guys...mimi ni mwanamichezo, nafuatilia. Baada ya GSW
kuifunga Grizzlies nyumbani kwao I didn't have any doubt whatsoever kwamba ubingwa 2015
ni wa Warriors. Of course there were the doubting Thomases, wengine wakaniita
poser na
phoney, thanx to
Nyani Ngabu...LOL!.
Steph Curry akaanza hata kukata tamaa, nikamwambia tulia najua uwezo wa vijana.
Raimundo na
Yegomasika baada ya game 2 waka
declare, imekwisha nikasema, no,
not on the Warriors watch. Baada ya hapo ndipo Love na Irving wakaanza kuliliwa,
oh kama wangekuwapo! The truth is; rekodi ya Warriors kwenye regular season spoke
for itself and anybody who doubted isn't doing the Warriors any justice.
Anyway all that was yesterday, lets now move on...all eyes now set on 2016. Thanks to you all
basketball lovers and all those who followed the NBA championship so religiously.