Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
- Thread starter
-
- #2,061
teh teh teh atakayebisha mwambie aende kwenye twitter page ya NBA akaone kuanzia wachezaji wa NBA mpaka wake zao wanavyom'praise the Real King...Kocha wa Blazers amekiri kwamba Curry hawezekani...akimaliza mahojiano kasema, nanukuu; Steph Curry is a two time MVP for a reason!
Stats hizi wazee wa GSWUmeiona hii...
NBA top +/- totals since 93-94
Je umemuona Russell Westbrook kwenye hiyo list?
Draymond now the first player ever to top +1000.
Klay joins him and Steph in the top 10
Kama kawaida vijana wa GSW ndio wamekamata usukani.
Plus/minus hazisaidii kwa kuwa wewe umesema ama? Sasa zinavyoonyesha namna timu inavyoperform mchezaji husika akiwa uwanja zinamaanisha nini? Kwani nini maana ya MVP? MVP award inaenda kwa the best performing player. Ndiyo maana ukiangalia hizo charts za plus/minus the best performing players kwenye timu zao ndiyo wapo.Per plus/minus hazisaidii chochote kuonesha mchango wa MVP.. Wewe unajua basketball au unaligi za ubishi tu aisee??
Dray amesaidia sana ila huwezi kufananisha mchango wa Curry na Dray hata kidogo.. Kuna vitu ambavyo Dray anafanya kwenye timu ambavyo kama asingepewa hayo majukumu yeyote mwingine angeweza kufanya ila kuna anavyofanya Curry hakuna mwingine anayeweza kuvifanya kwenye timu.. Mfano mdogo ni hii performance ya leo.. Sijasema MVP wanaangalia Play offs hiyo umesema wewe ila hiki alichofanya Curry leo amekuwa amekifanya msimu mzima..
WEWE NIMEGUNDUA HUNA CHUKI NA GSW BALI UNAMCHUKIA CURRY KWA KUMNYANG'ANYA FAME HUYO KING WAKO..
NILISEMA HUMU HAWA BLAZERS BILA CURRY HIZI SERIES ZITAKUWA NGUMU KWETU...
LEO WANATUPIGA KAMA UNDERDOGS VILE TEH TEH TEH TEH 21-5..
ZILE GAME MBILI PALE NYUMBANI TULIWABAHATISHA TU NA HAWAKUWA NA CONFIDENCE..
Hili ndilo tatizo lako wewe dogo...unapenda mawazo yako ndiyo yawe sahihi...mimi kama mtu simfahamu siwezi kusema hafahamu maana ya kitu fulani...wewe hunifahamu mimi, sasa utasemaje sijui maana ya plus/minus! Hata kwa ku-google!?? Anyway itabidi nikuzoee tu...Wewe hata maana ya Per +/- hujui.. Hujui hata vigezo vya mtu kuchaguliwa MVP, sema hapa tukuwekee sio ubishi usio na msingi..
teh teh teh ile ilikuwa game ya 30 Point loss at their home...
Wewe ubishi asili yako... Kama Per plus/minus ndiyo kipimo cha mtu kushinda MVP Award Michael Jordan kwenye hizo record ulizoweka aliongoza mwaka 1996/97 yeye pamoja na Pippen lakini aliyekuja kupata Award ni mwingine kabisa.. Huyo Dray mwenyewe bila Curry anafanya nini?? Umeangalia hizi series za Blazers ukaona Dray alivyokuwa anamtegemea Klay Offensively??Plus/minus hazisaidii kwa kuwa wewe umesema ama? Sasa zinavyoonyesha namna timu inavyoperform mchezaji husika akiwa uwanja zinamaanisha nini? Kwani nini maana ya MVP? MVP award inaenda kwa the best performing player. Ndiyo maana ukiangalia hizo charts za plus/minus the best performing players kwenye timu zao ndiyo wapo.
Hahaha umesahau sioMkuu hebu tukumbushane vizuri, hiyo game ilikuwa ya lini Cavs kafungwa 30 points?
teh teh teh alifungwa by 30 points... 120-90 at Quicken Loans ArenaMkuu hebu tukumbushane vizuri, hiyo game ilikuwa ya lini Cavs kafungwa 30 points?
He has been doing that all season long.. And still kuna mtu he is doubting about that..Curry ilibidi aje kuokoa jahazi.
Nimekwambia plus/minus box sio determinant ya mtu kupewa MVP Award... Pundits walishaongelea hiloHili ndilo tatizo lako wewe dogo...unapenda mawazo yako ndiyo yawe sahihi...mimi kama mtu simfahamu siwezi kusema hafahamu maana ya kitu fulani...wewe hunifahamu mimi, sasa utasemaje sijui maana ya plus/minus! Hata kwa ku-google!?? Anyway itabidi nikuzoee tu...
NB: nimekuita dogo nikimaanisha you seem immature kwa staili ya kuongea kwako. Samahani kama nitakukwaza. Lakini I had to speak it out.
Mkuu hebu tukumbushane vizuri, hiyo game ilikuwa ya lini Cavs kafungwa 30 points?
Wewe ubishi asili yako... Kama Per plus/minus ndiyo kipimo cha mtu kushinda MVP Award Michael Jordan kwenye hizo record ulizoweka aliongoza mwaka 1996/97 yeye pamoja na Pippen lakini aliyekuja kupata Award ni mwingine kabisa..
Nilifikiri tunaongelea regular NBA MVP!! Haya ya playoffs yatafikia muda wake. Na swali dogo tu, Curry bila Green atafanya nini?Huyo Dray mwenyewe bila Curry anafanya nini?? Umeangalia hizi series za Blazers ukaona Dray alivyokuwa anamtegemea Klay Offensively??