NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Kocha wa Blazers amekiri kwamba Curry hawezekani...akimaliza mahojiano kasema, nanukuu; Steph Curry is a two time MVP for a reason!
teh teh teh atakayebisha mwambie aende kwenye twitter page ya NBA akaone kuanzia wachezaji wa NBA mpaka wake zao wanavyom'praise the Real King...
 
Imagine, he just returned from the injury and he's just start setting records.
 
Umeiona hii...
NBA top +/- totals since 93-94

CfKlhh9UMAMGEpi.jpg


Je umemuona Russell Westbrook kwenye hiyo list?
Draymond now the first player ever to top +1000.
Klay joins him and Steph in the top 10
Kama kawaida vijana wa GSW ndio wamekamata usukani.​
Stats hizi wazee wa GSW
Cc: Mag3 Steph Curry

Hizi hapa chini ni real timu plus minus stats
NBA Real Plus-Minus - National Basketball Association - ESPN

Na hizi ni za mwisho wa regular season
Player Plus-minus (+/-) Stats: 2015-16 NBA Season
 
Per plus/minus hazisaidii chochote kuonesha mchango wa MVP.. Wewe unajua basketball au unaligi za ubishi tu aisee??

Dray amesaidia sana ila huwezi kufananisha mchango wa Curry na Dray hata kidogo.. Kuna vitu ambavyo Dray anafanya kwenye timu ambavyo kama asingepewa hayo majukumu yeyote mwingine angeweza kufanya ila kuna anavyofanya Curry hakuna mwingine anayeweza kuvifanya kwenye timu.. Mfano mdogo ni hii performance ya leo.. Sijasema MVP wanaangalia Play offs hiyo umesema wewe ila hiki alichofanya Curry leo amekuwa amekifanya msimu mzima..

WEWE NIMEGUNDUA HUNA CHUKI NA GSW BALI UNAMCHUKIA CURRY KWA KUMNYANG'ANYA FAME HUYO KING WAKO..
Plus/minus hazisaidii kwa kuwa wewe umesema ama? Sasa zinavyoonyesha namna timu inavyoperform mchezaji husika akiwa uwanja zinamaanisha nini? Kwani nini maana ya MVP? MVP award inaenda kwa the best performing player. Ndiyo maana ukiangalia hizo charts za plus/minus the best performing players kwenye timu zao ndiyo wapo.
 
NILISEMA HUMU HAWA BLAZERS BILA CURRY HIZI SERIES ZITAKUWA NGUMU KWETU...

LEO WANATUPIGA KAMA UNDERDOGS VILE TEH TEH TEH TEH 21-5..

ZILE GAME MBILI PALE NYUMBANI TULIWABAHATISHA TU NA HAWAKUWA NA CONFIDENCE..

Curry ilibidi aje kuokoa jahazi.
 
Wewe hata maana ya Per +/- hujui.. Hujui hata vigezo vya mtu kuchaguliwa MVP, sema hapa tukuwekee sio ubishi usio na msingi..
Hili ndilo tatizo lako wewe dogo...unapenda mawazo yako ndiyo yawe sahihi...mimi kama mtu simfahamu siwezi kusema hafahamu maana ya kitu fulani...wewe hunifahamu mimi, sasa utasemaje sijui maana ya plus/minus! Hata kwa ku-google!?? Anyway itabidi nikuzoee tu...
NB: nimekuita dogo nikimaanisha you seem immature kwa staili ya kuongea kwako. Samahani kama nitakukwaza. Lakini I had to speak it out.
 
Plus/minus hazisaidii kwa kuwa wewe umesema ama? Sasa zinavyoonyesha namna timu inavyoperform mchezaji husika akiwa uwanja zinamaanisha nini? Kwani nini maana ya MVP? MVP award inaenda kwa the best performing player. Ndiyo maana ukiangalia hizo charts za plus/minus the best performing players kwenye timu zao ndiyo wapo.
Wewe ubishi asili yako... Kama Per plus/minus ndiyo kipimo cha mtu kushinda MVP Award Michael Jordan kwenye hizo record ulizoweka aliongoza mwaka 1996/97 yeye pamoja na Pippen lakini aliyekuja kupata Award ni mwingine kabisa.. Huyo Dray mwenyewe bila Curry anafanya nini?? Umeangalia hizi series za Blazers ukaona Dray alivyokuwa anamtegemea Klay Offensively??
 
f87e6925cee0b25302be5a24587c7a88.jpg


Hivi hii ilitokeaga kweli au?! Coz I think I need a reminder (or someone does).
 
Hili ndilo tatizo lako wewe dogo...unapenda mawazo yako ndiyo yawe sahihi...mimi kama mtu simfahamu siwezi kusema hafahamu maana ya kitu fulani...wewe hunifahamu mimi, sasa utasemaje sijui maana ya plus/minus! Hata kwa ku-google!?? Anyway itabidi nikuzoee tu...
NB: nimekuita dogo nikimaanisha you seem immature kwa staili ya kuongea kwako. Samahani kama nitakukwaza. Lakini I had to speak it out.
Nimekwambia plus/minus box sio determinant ya mtu kupewa MVP Award... Pundits walishaongelea hilo

Mwaka jana Curry ameongoza lakini kwanini Players wenyewe walikuwa discouraged na Curry kupewa na wakaja wakampa Harden??
 
86a981c565d27c02490cd66abe533969.jpg


Bout time somebody call a sniper team whenever Steph and his gang show up in town.
 
These injuries mustn't rob us from watching what could be Steph Curry's best season of his career and one of the best seasons of all time
 
Mkuu hebu tukumbushane vizuri, hiyo game ilikuwa ya lini Cavs kafungwa 30 points?

January 18th, 2016 at Quicken Loans Arena Cleveland;

GSW....132
CAVS...98

Huu ulikuwa ni ushindi mkubwa wa GSW ugenini wa vikapu 34!
 
Wewe ubishi asili yako... Kama Per plus/minus ndiyo kipimo cha mtu kushinda MVP Award Michael Jordan kwenye hizo record ulizoweka aliongoza mwaka 1996/97 yeye pamoja na Pippen lakini aliyekuja kupata Award ni mwingine kabisa..


Umeona unavyo-reason braza? Two wrongs never make it right! Kama MVP inatolewa kwa best performing player (ambaye anapaswa kuwa the best kuanzia kwenye timu yake), basi huo msimu wa 96/97 walifanya makosa.
Huyo Dray mwenyewe bila Curry anafanya nini?? Umeangalia hizi series za Blazers ukaona Dray alivyokuwa anamtegemea Klay Offensively??
Nilifikiri tunaongelea regular NBA MVP!! Haya ya playoffs yatafikia muda wake. Na swali dogo tu, Curry bila Green atafanya nini?
 
Back
Top Bottom