Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wataombea hizi series ziende mpaka game 7 basi wajiandae tu kukutana na GSW kwenye Finals maana sioni OKC ikitufunga pale Oracle kwenye game ya kudecide nani aende Finals..Cavs wawamalize mapema hao Raptors wapate kupumzika huku wakiombea game ya The Warriors na Thunders iende mpaka 7.
Hapana mkuu Mag 3 nadhani hii si kweli... Cavs amefungwa na timu 7 tu za West ambazo ni GSW (mara mbili), Spurs, Memphis, Rockets, Utah Jazz, Blazers na Pelicans wote wakimfunga mara moja.. Kule East alipoteza michezo 18 kwa Chicago (3), Bucks, Pistons (3), Toronto (2), Wizards (2), Miami (2), Hornets, Boston, Nets, Pacers... Kitu pekee nilichowasifu Cavs ni pamoja na Regular season kupigwa 3-1 na Pistons lakini walikuja kuwasweep kwenye series.. Pamoja na kuongea na kubeza ila hawa Cavs wa kwenye Play Offs wako vizuri sana na GSW hatuwezi kwenda kwa dharau kucheza nao.. Hata hawa Toronto kwenye regular walimsumbua lakini sasahivi anaonekana hana ushindani.. Cavs wako moto sana hilo halina ubishi, timu pekee hizi Play offs za east iliyoonyesha kumsumbua Cavs ni Pistons pekee..Kwenye regular ya mwaka huu CAVS ilifungwa katika michezo miwili tu na timu za East lakini ilipokutana na timu za West ikapoteza michezo 23! Na sasa kwenye playoffs CAVS haijafungwa hata mara moja na hizo hizo timu za East...je hapa tunapata fundisho gani? Ni kwamba huko East CAVS hawana upinzani, ni mteremko tu.
Sawa Mkuu, ni kweli sikuwa makini kwenye hili. Uzuri wangu ni kwamba nikikosea nakiri, sikuwa na nia mbaya.Hapana mkuu Mag 3 nadhani hii si kweli... Cavs amefungwa na timu 7 tu za West ambazo ni GSW (mara mbili), Spurs, Memphis, Rockets, Utah Jazz, Blazers na Pelicans wote wakimfunga mara moja.. Kule East alipoteza michezo 18 kwa Chicago (3), Bucks, Pistons (3), Toronto (2), Wizards (2), Miami (2), Hornets, Boston, Nets, Pacers... Kitu pekee nilichowasifu Cavs ni pamoja na Regular season kupigwa 3-1 na Pistons lakini walikuja kuwasweep kwenye series.. Pamoja na kuongea na kubeza ila hawa Cavs wa kwenye Play Offs wako vizuri sana na GSW hatuwezi kwenda kwa dharau kucheza nao.. Hata hawa Toronto kwenye regular walimsumbua lakini sasahivi anaonekana hana ushindani.. Cavs wako moto sana hilo halina ubishi, timu pekee hizi Play offs za east iliyoonyesha kumsumbua Cavs ni Pistons pekee..
Lakini tukirudi kwa Warriors, hatujawahi kupoteza michezo miwili kwa timu moja regular season yote na hatujawahi kufungwa back to back.. Hapa ndipo tutapochukulia ubingwa.. Kama tukifanikiwa kuingia Finals ni kuhakikisha hatufanyi uzembe kama ule tuliofanya game 1 kwa OKC wa kuachia home game, ni lazima tuhakikishe tunampiga zote 2 ili hata kwao tukiiba moja tunakuja kumaliza sherehe game 5...
Raptors wamedinda leo.Naona home court imewapa hamasa.Itakuwa 2-1 leoCavs wawamalize mapema hao Raptors wapate kupumzika huku wakiombea game ya The Warriors na Thunders iende mpaka 7.
After tonight are you still sure of that? No wonder none of you CAV's fans appeared here...the Raptors erupted and the CAVs caved in, they were ruptured. Biyombo on LBJ was fun to watch and Kyrie met his match, for once he was begging to get to the bench. Well played Toronto...99-84! and the series is now 1-2.Game haina ushindani, ni kama kina LBJ wako mazoezini.
Sikuiona hii game kwa sababu nilishakwambia game haina ushindwe, nawaza hongera Toronto kwa kuongeza idadi ya game za series.After tonight are you still sure of that? No wonder none of you CAV's fans appeared here...the Raptors erupted and the CAVs caved in, they were ruptured. Biyombo on LBJ was fun to watch and Kyrie met his match, for once he was begging to get to the bench. Well played Toronto...99-84! and the series is now 1-2.
Nakushauri uitazame hii game hata kama ni replay, inafurahisha...Sikuiona hii game kwa sababu nilishakwambia game haina ushindwe, nawaza hongera Toronto kwa kuongeza idadi ya game za series.
Mazoezi yamerefushwa.
Nakushauri uitazame hii game hata kama ni replay, inafurahisha...
The "Invincibles" have been exposed,at least earlier than expected. .Biyombo was Mutombo...Love & Kyrie didn't deliver when LBJ needed them most...And Ooh ..J.R Smiths was J.R Smiths. .Nimeona Highlight ya James kuguswa pua akajiangusha.
The "Invincibles" have been exposed,at least earlier than expected. .Biyombo was Mutombo...Love & Kyrie didn't deliver when LBJ needed them most...And Ooh ..J.R Smiths was J.R Smiths. .
Mkumbuke hawa Toronto hamkuwahi kuwafunga kwao kwenye regulars.. Alafu na wameshapata weakness yao ilikuwa wapi basi game 4 itakuwa ya kukata na shoka.. Leo Kyle maana ya mechi amerudi uwanjani upractise teh teh teh teh kesho kutwa kazi mnayo...It's a wake up call, I planned not to watch a game anymore of this series after game 2, as it was looking like unfair competition, but now game 4 is a must watch.
Wadau naomba niulize. Series ya OKC na The Warriors ndiyo iliyoanza kabla ya series ya Cavs na Raptors. Mbona sasa hii ya Cavs/Raptors imefika game 3 na ile ya OKC/Warriors bado iko 2? Iweje hii ya Magharibi game 3 imecheleweshwa sana!?
Mkumbuke hawa Toronto hamkuwahi kuwafunga kwao kwenye regulars.. Alafu na wameshapata weakness yao ilikuwa wapi basi game 4 itakuwa ya kukata na shoka.. Leo Kyle maana ya mechi amerudi uwanjani upractise teh teh teh teh kesho kutwa kazi mnayo...