mchagahalisi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 619
- 361
Kwa kipigo hiki, nadhani tuwaache tu GSW
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona maombi hayakufika panapostahili...unaonaje ukifunga kabisa ndugu yangu! On a serious note kweli yupo mtu alitegemea Warriors ifungwe back to back. Muulize Raimundo atakusimulia kipigo timu yake ilipata baada ya GSW kujeruhiwa na timu moja ya ajabu ajabu. Ni siku ambayo CAVs hawatakaa waisahau...132-98! Leo sijui OKC wangefungwa mangapi kama benchi isingeachiwa imalizemalize kufagia uwanja!truly mniombee walau season hii my OKC tupate RING
Hahaha bro kuna watu wehu ujue. Hizi mambo za kupenda kuwa na "I shot the moment" attitude ni ya kishenzi kabisa. Naona hata kiama kikija watu watakuwa bize kwanza kusnap.Halafu kuna mjinga anawaambia watu wamwache Curry pale ili apige kwanza picha.
Hahah..Okay..If I were neutral I would prefer this match up to go as far as Game 7..it's full of fun,unpredictability and haiishi kuongelewa midomoni mwa watu..Contrary to our "comrades" on the East....Mie shabiki tu sina Timu Mkuu, ila kama shabiki kuna timu huwa nazifagilia zishinde na hata kama zisiposhinda huwa sikosi raha hata chembe ukilinganisha na enzi za Michael Jordan and Da Bulls
Naona maombi hayakufika panapostahili...unaonaje ukifunga kabisa ndugu yangu! On a serious note kweli yupo mtu alitegemea Warriors ifungwe back to back. Muulize Raimundo atakusimulia kipigo timu yake ilipata baada ya GSW kujeruhiwa na timu moja ya ajabu ajabu. Ni siku ambayo CAVs hawatakaa waisahau...132-98! Leo sijui OKC wangefungwa mangapi kama benchi isingeachiwa imalizemalize kufagia uwanja!
Kuna majipu hayatumbuliki k.m. Lugumi...muulize Magufuli.
this face tells it all..the 'IDGAF'' face..![]()
Damn, like for real, what the ef is Westbrook wearing these days?. One IG commenter put it right for me, he's like a homeless dude. Damn, this kid is way outta clothing madness.
hahah..nilimuuliza hilo swali,akapotea...sasa ikifika OKC vs Cavs Final si atachanganyikiwa...Halafu jamaa mwenyewe anayeomba OKC ishinde Avatar kwamweka LBJ.
Bro, that's madness type of IDGAF. At least he should play it with "laid back muhfa.." Type of IDGAF.this face tells it all..the 'IDGAF'' face..
![]()
Mpaka game inaisha hamna mjadala humu..Tatizo nini?..The thread is hot only when "The Real Deal" steps on the court..Game 2 has just started.
Go Cavs.
Kwenye regular ya mwaka huu CAVS ilifungwa katika michezo miwili tu na timu za East lakini ilipokutana na timu za West ikapoteza michezo 23! Na sasa kwenye playoffs CAVS haijafungwa hata mara moja na hizo hizo timu za East...je hapa tunapata fundisho gani? Ni kwamba huko East CAVS hawana upinzani, ni mteremko tu.Mpaka game inaisha hamna mjadala humu..Tatizo nini?..The thread is hot only when "The Real Deal" steps on the court..
Mpaka game inaisha hamna mjadala humu..Tatizo nini?..The thread is hot only when "The Real Deal" steps on the court..
Na huo mteremko ndo unafanya victories za Cavs zisiwe na chachu kiviile. We anangalia tu writers' and sport analysts' coverage ya game za West (specifically [nowadays] GSW's and these Western Conference games) ilivyokuwa kubwa kuliko coverage ya game za East.Kwenye regular ya mwaka huu CAVS ilifungwa katika michezo miwili tu na timu za East lakini ilipokutana na timu za West ikapoteza michezo 23! Na sasa kwenye playoffs CAVS haijafungwa hata mara moja na hizo hizo timu za East...je hapa tunapata fundisho gani? Ni kwamba huko East CAVS hawana upinzani, ni mteremko tu.