NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Na wala hutasikia mechi zao "zinaboa"...
#thehateisreal..
Kuna watu msimu uliopita ndio walikua nambari one wakisema hivyo..Sasa wamefyata hawazungumzii lolote.
Nilichokuja kujua ni kumbe Warriors wanachukiwa kwa wanachokifanya ila wakifanya wengine watu hawaongei.. Cavs wanaonyesha kabisa watamfagia na huyu Toronto ila akina watu wako kimyaa hakuna anayekosoa.. Warriors ile run ya 73-9 watu waliongea sana, Curry kupiga 300 three pointers wakachonga lakini jana Lebron na Kyrie wameshoot 23-26 lakini hakuna hata aliyesema NBA iko soft..
 
Leo Curry anatishaaa.

Steven Adams asiporudi GSW wanaweza kushinda kirahisi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
We acha tu Mkuu yaani hapa naomba sana Adams arudi bila yeye basi ushindi unaweza usipatikane na labda kuwaathiri OKC kwenye michezo ya siku zijazo.

Leo Curry anatishaaa.

Steven Adams asiporudi GSW wanaweza kushinda kirahisi.
 
Naona KD turnovers zinamwandama balaa.
Sielewi kwanini kuna wakati Kerr anawaweka nje both Curry and Klay... Sasa OKC wameshaanza kurudi kwenye game kwa mambo ya kipuuzi kabisa.. Walton is better
 
Kwa maoni yangu gap ya 7 points to 10 kwa OKC ni poa kabisa wakiamua kufanya vitu vyao wanaweza kabisa kutie the game na kuongoza for good just like in the previous game.

7 Point lead si mbaya... Kitu kilichonifurahisha na defense yetu leo na tumezuia turnovers..

Tukicheza hivi mpaka mwisho basi utakuwa ni mshindi mwepesi tu..
 
Sielewi kwanini kuna wakati Kerr anawaweka nje both Curry and Klay... Sasa OKC wameshaanza kurudi kwenye game kwa mambo ya kipuuzi kabisa.. Walton is better

KD ameacha kukabwa na shots zinamkubali.

Mpaka sasa game unaweza sema ni bila bila, yeyote anashinda hii game.
 
Kwa maoni yangu gap ya 7 points to 10 kwa OKC ni poa kabisa wakiamua kufanya vitu vyao wanaweza kabisa kutie the game na kuongoza for good just like in the previous game.
Oooh yeah and the couch being dump to keep 2 best shooters off the court while u are just on a single digit lead.. These are play offs sasa sijui anaweka wachezaji muhimu nje ili iweje..
 
Back
Top Bottom