NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Cavs have a "cakewalk" ..
The Banged Up Toronto might just be another sweep in Process...
..Lets handle our business first. .

And this has always been the worst part of NBA, injuries at the moment you need to be health.

We are luck to be this healthier at this time of the calendar.

Come anyone.
 
Itakuwa bomba sana wakiweza kushinda tena kesho, ila utakuwa mchezo mgumu sana kwa OKC maana GSW wanajua fika wakienda Oklahoma wako chini 0-2 basi inaweza kuwa ngumu sana kwako kurudi Golden States kwa game 5.

GSW inabidi wafanye adjustment kubwa kuwin game 2 kwa sababu hata zile game za regular season zilikuwa ni close games kiasi ambacho unaona kabisa timu hizi mbili zina uwiano sawa.

Na kama wakienda Q4 wakiwa wanalingana lingana uwezekano ni mkubwa kwa yeyote kushinda, so let's hope OKC wanacontrol turnovers.
 
Nilikuwa namuangalia kocha wa GSW Steve Kerry wakati wanaongoza kwa zaidi ya 10 alikuwa mtu wa vicheko sana na high fives, kibao kilipogeuka uso ukabadilika na kuonyesha wasiwasi. Sidhani kama walitegemea OKC washinde jana.

Nina wasi wasi waliwa-underate OKC, walisahau pia hata zile game za regular season walizoshinda zilikuwa ni za karibu karibu sana ambazo zingeweza kwenda upande wowote.

Nina uhakika game 2 itakuwa ngumu sana kwao, na kuna uwezekano mkubwa wa kupoteza hiyo game pia.

BTW, wakati mwingine naombea tu GSW wapoteze kiushabiki tu, na nimefurahi walivopigwa hiyo game.
 
Kiukweli hata kwangu kufungwa kwa GSW jana sikujisikia vibaya sana lakini kwa namna tofauti na wewe...kwako adui wa adui wako ni rafiki yako. Haijalishi nani kamfunga GSW, Raimundo atafurahi tu...sawa bwana. Hata hivyo mimi nachukulia kufungwa kwa GSW kama changamoto kwa #Dubnation, kufungwa kunakomaza timu na ukizoea kufunga tu kama walivyozoea GSW, level of concentration inapungua. Pamoja na hayo hongera nyingi ziwaendee OKC, good job!

Kufungwa kwa GSW pia kumewarudisha jamvini wenzetu waliopotea na idadi ya wachangiaji kuongezeka and so it was a blessing in other ways too...karibuni sana! Kwa Warriors ninaowafahamu, wanapojeruhiwa kama jana na OKC, wanakuwa wakali kama simba na hili nadhani wote tumeshuhudia. Ole wake atakayekaidi na kusimama mbele yake, kazi itakuwa ni kupiga tu kwani tumechoka, hatuna kingine bali kupiga tu...waulizeni CAVs na Spurs, makovu bado wanayo!
 
Yaani nina amani sana, hata nitakapo anagalia game 2 yenu nakuwa na amani sana.

Niko na RW kwa kauli ya eti Curry is just a shooter, Nzi atakuwa amemwelewa jamaa maana ni moja ya watu wanasema Curry siyo PG.

Tunasubiri RW am-expose.
 
Itakuwa bomba sana wakiweza kushinda tena kesho, ila utakuwa mchezo mgumu sana kwa OKC maana GSW wanajua fika wakienda Oklahoma wako chini 0-2 basi inaweza kuwa ngumu sana kwako kurudi Golden States kwa game 5.
Hapana BAK, ninavyowajua GSW kucheza ugenini si jambo kubwa sana kwao na hilo wamelithibitisha na si mara moja tu. OKC wakitaka kufanya makosa ni ku-assume kuwa hawafungiki nyumbani na ku-relax. Watajikuta wanapoteza game zote mbili mbele ya mashabiki wao. Katika michezo 41 ugenini za regular, Warriors walipoteza michezo kumi tu na kushinda 31!
 
Ahsante sana Mkuu hilo linawezekana kabisa lakini hizi ni playoffs very different from regular season. OKC ya playoffs inaweza kabisa kuwa tofauti na ile ya regular season, nadhani wengi wetu hatukutegemea wawafunge Spurs hasa ukitilia maanani kwamba Spurs walikuwa na home court advantage.

Hapana BAK, ninavyowajua GSW kucheza ugenini si jambo kubwa sana kwao na hilo wamelithibitisha na si mara moja tu. OKC wakitaka kufanya makosa ni ku-assume kuwa hawafungiki nyumbani na ku-relax. Watajikuta wanapoteza game zote mbili mbele ya mashabiki wao. Katika michezo 41 ugenini za regular, Warriors walipoteza michezo kumi tu na kushinda 31!
 
Ila mi nakuombea uwapige GSW ili iwe rahisi kwa King kuchukua ring.
Nakiri hapa tunakubaliana, OKC kwa CAVS ni kama mbwa na chatu. Mbwa, pamoja na kasi zake zote, kwa chatu hafurukuti! Ilitakiwa ajitutumue tu na kutimka, lakini wapi, nguvu humuishia kabisa...masikini mbwa, anajipeleka mwenyewe taratibu awe kitoweo...!
 
Cha kutokea kinaweza kutokea, unajua kwenye ugomvi yule anayepigwa kila siku anaweza kuamua leo liwalo na liwe na mwisho wa siku akashinda pambano.

Tukiona OKC kaingia Finals, tunaanza kupamba maeneo ya kufanyia parade mapema hata kabla ya game 1, ila nyie mtasumbua sumbua kidogo.
 
Jamani hii game ya Toronto naombeni mnipe matokeo tu, naona imeanza kwa kasi ya ushindani.
 
Half 1,

CAVs 66 vs Toronto's 44.

Hapa hakuna namna game kuisha.
 
Game inaonyesha kabisa kwamba Toronto washakalishwa [emoji459][emoji459][emoji459]
 
Back
Top Bottom