Bruv ile first half tulidominate sababu ya uwepo wa Bogut... Boggie is good kwenye defense and he is good kwenye offense sababu he is a good passer... Tatizo la Ezeli hawezi kutembeza mpira wala kukamata akiwa kwenye pressure.. Defense pia sio mzuri. Ezeli alisababisha kama turnover 3 au 4 3rd quarter tena ni za kijinga kabisa za kushinda kucontrol au kudaka mpira na wakati huo tulikuwa na lead ya 9, 11, 7... Ndipo OKC wakatumia hizo weakness kupunguza gap mpaka 1... Kwa hii game ya OKC ni vizuri tumtumie Varejao na Bogut tu, Ezeli aingie lead ikiwa kubwa..
I hope leo tutaimaliza game mapema tu..