NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Cavs wawamalize mapema hao Raptors wapate kupumzika huku wakiombea game ya The Warriors na Thunders iende mpaka 7.
 
Cavs wawamalize mapema hao Raptors wapate kupumzika huku wakiombea game ya The Warriors na Thunders iende mpaka 7.
Kama wataombea hizi series ziende mpaka game 7 basi wajiandae tu kukutana na GSW kwenye Finals maana sioni OKC ikitufunga pale Oracle kwenye game ya kudecide nani aende Finals..

Pia wajiandae kwa kichapo kizito maana walikuwa kwenye mteremko sasa wakikutana na Mlima Kitonga ghafla ghafla alafu yuko gia namba 5 lazima gari iishie katikati mwa mlima..
 
Hapana mkuu Mag 3 nadhani hii si kweli... Cavs amefungwa na timu 7 tu za West ambazo ni GSW (mara mbili), Spurs, Memphis, Rockets, Utah Jazz, Blazers na Pelicans wote wakimfunga mara moja.. Kule East alipoteza michezo 18 kwa Chicago (3), Bucks, Pistons (3), Toronto (2), Wizards (2), Miami (2), Hornets, Boston, Nets, Pacers... Kitu pekee nilichowasifu Cavs ni pamoja na Regular season kupigwa 3-1 na Pistons lakini walikuja kuwasweep kwenye series.. Pamoja na kuongea na kubeza ila hawa Cavs wa kwenye Play Offs wako vizuri sana na GSW hatuwezi kwenda kwa dharau kucheza nao.. Hata hawa Toronto kwenye regular walimsumbua lakini sasahivi anaonekana hana ushindani.. Cavs wako moto sana hilo halina ubishi, timu pekee hizi Play offs za east iliyoonyesha kumsumbua Cavs ni Pistons pekee..

Lakini tukirudi kwa Warriors, hatujawahi kupoteza michezo miwili kwa timu moja regular season yote na hatujawahi kufungwa back to back.. Hapa ndipo tutapochukulia ubingwa.. Kama tukifanikiwa kuingia Finals ni kuhakikisha hatufanyi uzembe kama ule tuliofanya game 1 kwa OKC wa kuachia home game, ni lazima tuhakikishe tunampiga zote 2 ili hata kwao tukiiba moja tunakuja kumaliza sherehe game 5...
 
Sawa Mkuu, ni kweli sikuwa makini kwenye hili. Uzuri wangu ni kwamba nikikosea nakiri, sikuwa na nia mbaya.
 
Cavs wawamalize mapema hao Raptors wapate kupumzika huku wakiombea game ya The Warriors na Thunders iende mpaka 7.
Raptors wamedinda leo.Naona home court imewapa hamasa.Itakuwa 2-1 leo
 
Game haina ushindani, ni kama kina LBJ wako mazoezini.
After tonight are you still sure of that? No wonder none of you CAV's fans appeared here...the Raptors erupted and the CAVs caved in, they were ruptured. Biyombo on LBJ was fun to watch and Kyrie met his match, for once he was begging to get to the bench. Well played Toronto...99-84! and the series is now 1-2.
 
For the first time I think someone worked on Skip Bayless advice.

Kwenye first take ya juzi, Skip Bayless alisema Dwayne Cassey is a defensive Guru but he's being let down by his team.

Akasema how comes Lebron James has made 18 shots in the 1.6 feet area. Akasema for the first time he saw Lebron James in a dunk contest in fifteen years. He said Cavs were doing the dunking contest and layups drills and the defense was just horrible. He pointed out on missing Valuncinias but thought Biyombo can do better.

Man Biyombo went from being a cat to a wolf today. He was a beast in the paint. Didn't need to do anything with offense but just protect that damn rim. It worked out.

Raptors seems to be a good team when in Canada. If Valuncinias returns in Game 4, he'll be decisive. Ila this is good for the Cavs Sana. It is a wake up call kuwa you can't just run through the slope to meet the Warrior
 
Sikuiona hii game kwa sababu nilishakwambia game haina ushindwe, nawaza hongera Toronto kwa kuongeza idadi ya game za series.

Mazoezi yamerefushwa.
 
Sikuiona hii game kwa sababu nilishakwambia game haina ushindwe, nawaza hongera Toronto kwa kuongeza idadi ya game za series.

Mazoezi yamerefushwa.
Nakushauri uitazame hii game hata kama ni replay, inafurahisha...
 
Alijiangusha akidhani kaguswa pua na adui kumbe ndugu yake Thompson, hakika CAVs walichanganyikiwa haswa wakati huo. Sasa tunasubiri mechi ya kweli kesho Chesaspeake Energy Arena, Oklahoma.
 
Nimeona Highlight ya James kuguswa pua akajiangusha.
The "Invincibles" have been exposed,at least earlier than expected. .Biyombo was Mutombo...Love & Kyrie didn't deliver when LBJ needed them most...And Ooh ..J.R Smiths was J.R Smiths. .
 
The "Invincibles" have been exposed,at least earlier than expected. .Biyombo was Mutombo...Love & Kyrie didn't deliver when LBJ needed them most...And Ooh ..J.R Smiths was J.R Smiths. .

It's a wake up call, I planned not to watch a game anymore of this series after game 2, as it was looking like unfair competition, but now game 4 is a must watch.
 
Cav wanaweza adhirika.Now Toronto have figured out how to play like a Team.Biyombo is a beast on defensive end.Demar is always efficient when playing at home.
 
It's a wake up call, I planned not to watch a game anymore of this series after game 2, as it was looking like unfair competition, but now game 4 is a must watch.
Mkumbuke hawa Toronto hamkuwahi kuwafunga kwao kwenye regulars.. Alafu na wameshapata weakness yao ilikuwa wapi basi game 4 itakuwa ya kukata na shoka.. Leo Kyle maana ya mechi amerudi uwanjani upractise teh teh teh teh kesho kutwa kazi mnayo...
 
Wadau naomba niulize. Series ya OKC na The Warriors ndiyo iliyoanza kabla ya series ya Cavs na Raptors. Mbona sasa hii ya Cavs/Raptors imefika game 3 na ile ya OKC/Warriors bado iko 2? Iweje hii ya Magharibi game 3 imecheleweshwa sana!?
 
Ni ratiba tu mkuu, haina nani kaanza nani hakuanza.

Nadhani pia kuiacha GSW na OKC wacheze Jumapili ni kwa sababu ni siku yenye rating kubwa kwa TV so ni muhimu iwe game ambayo ni competitve na yenye viewers wengi.

Kama kuna inputs zaidi wadau wataongezea.
 
Mkumbuke hawa Toronto hamkuwahi kuwafunga kwao kwenye regulars.. Alafu na wameshapata weakness yao ilikuwa wapi basi game 4 itakuwa ya kukata na shoka.. Leo Kyle maana ya mechi amerudi uwanjani upractise teh teh teh teh kesho kutwa kazi mnayo...

Kyle na KL siyo wazoefu wa playoffs, waliridhika sana kwenye hizi game na wakaona hawawezi kufungwa, baada ya hii game akili ya playoff itawaingia kichwani.

Game 4 itakuwa game ya kuangalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…