Duh! Ukimya humu leo unatisha...niliacha kwanza wenyewe waseme lakini sijui wamekuwaje. Haya sasa ni HT na naona 57-41 kwenye ubao na Toronto naona wanashangilia vipi tena?Sijawahi kwenda likizo, nainjoy game tu.
Mmmhhh...sijui! Naona tu ubao unasoma 105-99 FT, jamvi kimyaaaa! Angekuwa kafungwa tena Warriors posts zingekuwa zinaingia humu kwa spidi ya kimondo lakini leo, hata kono kono hakamatiki, loooo...!Hii inaitwa usiyempenda kaja.
Cavs vs OKC
Tehteh..BAK kapotea..Mmmhhh...sijui! Naona tu ubao unasoma 105-99 FT, jamvi kimyaaaa! Angekuwa kafungwa tena Warriors posts zingekuwa zinaingia humu kwa spidi ya kimondo lakini leo, hata kono kono hakamatiki, loooo...!
Tehteh..MUNGU si wamang'ati tu..Mungu wa wote..Toronto have evened up the series..[emoji38] [emoji38] [emoji38] ..haya sasa...You believe for 2016/2017 season....it is always a good idea to keep on dreaming. π
Naona ushakuwa mganga wa kienyeji. Sasa..Too unlucky tunguli zimekataa so far..Hii inaitwa usiyempenda kaja.
Cavs vs OKC
Ngoja Cavs tuendelee kijifua kwa Toronto, maana sisi tuko mazoezini tunasubiri Finals.
Tehteh..BAK kapotea..
Rai kayeyuka..Na "Wengineo"...wherw are you?..
Mwisho wa siku mtapita,but it is fun for it to be longer. ..WATCH OUT HOWEVER.Dah, hizi game balaa tupu.
Atleast tunainjoi playoffs zenye ushindani tofauti na mwaka jana aisee.
Mwisho wa siku mtapita,but it is fun for it to be longer. ..WATCH OUT HOWEVER.
"Zile" new IDs huwa sizioni CAVS ikifungwa..Hakika Mamluki ni wengi sana..
Naona ushakuwa mganga wa kienyeji. Sasa..Too unlucky tunguli zimekataa so far..
You live by 3 you die by 3...3 for 22 in the 1st Q..It happens sometimes. .GSW knows best..and now CavsDah, hizi game balaa tupu.
Atleast tunainjoi playoffs zenye ushindani tofauti na mwaka jana aisee.
Mmmhhh...sijui! Naona tu ubao unasoma 105-99 FT, jamvi kimyaaaa! Angekuwa kafungwa tena Warriors posts zingekuwa zinaingia humu kwa spidi ya kimondo lakini leo, hata kono kono hakamatiki, loooo...!
Na wala sijasema imekatazwa..Note "So far"...We all troll to get the most out of each other. .Kauli kama hizi zitakutoa tu "pangoni".So chill out and regroup yourself. .[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu kiushabiki kufanya bashiri zako haikatazwi, hata kama matokeo yatagoma lakini inakubalika.
Hata hivyo sijaona wapi imekataa kwa sababu 2-2 ya Toronto haimaniishi hatumtoi.
Hahaha hapa ndipo nnapochekaga. Mbona sisi Dubs tunakujaga huku hata tukifungwa ile ya aibu.Tehteh..BAK kapotea..
Rai kayeyuka..Na "Wengineo"...wherw are you?..
Na wala sijasema imekatazwa..Note "So far"...We all troll to get the most out of each other. .Kauli kama hizi zitakutoa tu "pangoni".So chill out and regroup yourself. .[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hivi hujaacha tu hizi tabiri zako? Sweep ya Toronto kwani imeishia wapi? Hata tukifungwa leo series itakuwa bado sana...kwisha ni mpaka tutandikwe nne. Vipi Cavs akipigwa kesho nyumbani, je series itakuwa imeisha? Kumbuka tutakuwa hapa hapa, hatuondoki ng'o!πππIla nyie leo nitakaa kifitna mkipigwa tu series imeisha.