NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Sijawahi kwenda likizo, nainjoy game tu.
Duh! Ukimya humu leo unatisha...niliacha kwanza wenyewe waseme lakini sijui wamekuwaje. Haya sasa ni HT na naona 57-41 kwenye ubao na Toronto naona wanashangilia vipi tena?
 
FNG322-BKN+Cavaliers+Raptor.JPG

Biyombo afanya vitu vyake, Thompson hoi

FNG321-BKN+Cavaliers+Raptor.JPG

Biyombo akimuambia KL, hapa hakuna njia...road closed!​
 
Mmmhhh...sijui! Naona tu ubao unasoma 105-99 FT, jamvi kimyaaaa! Angekuwa kafungwa tena Warriors posts zingekuwa zinaingia humu kwa spidi ya kimondo lakini leo, hata kono kono hakamatiki, loooo...!
Tehteh..BAK kapotea..
Rai kayeyuka..Na "Wengineo"...wherw are you?..
 
Another big game for Toronto.Home court advantage.Kyle was so confident.DeRozan a master of mid rage jumper.Biyombo still a beast.
 
Naona ushakuwa mganga wa kienyeji. Sasa..Too unlucky tunguli zimekataa so far..

Mkuu kiushabiki kufanya bashiri zako haikatazwi, hata kama matokeo yatagoma lakini inakubalika.

Hata hivyo sijaona wapi imekataa kwa sababu 2-2 ya Toronto haimaniishi hatumtoi.
 
Mmmhhh...sijui! Naona tu ubao unasoma 105-99 FT, jamvi kimyaaaa! Angekuwa kafungwa tena Warriors posts zingekuwa zinaingia humu kwa spidi ya kimondo lakini leo, hata kono kono hakamatiki, loooo...!

Wazee mbona kama hamtaki watu waiponde timu yenu?

Sasa mkuu unategemea Cavs ifungwe halafu sisi wa Cavs ndo tulete posts humu? Hilo ni jukumu lenu wapinzani kuzileta humu, sisi tutaleta ninyi mkipigwa.
 
Mkuu kiushabiki kufanya bashiri zako haikatazwi, hata kama matokeo yatagoma lakini inakubalika.

Hata hivyo sijaona wapi imekataa kwa sababu 2-2 ya Toronto haimaniishi hatumtoi.
Na wala sijasema imekatazwa..Note "So far"...We all troll to get the most out of each other. .Kauli kama hizi zitakutoa tu "pangoni".So chill out and regroup yourself. .[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Na wala sijasema imekatazwa..Note "So far"...We all troll to get the most out of each other. .Kauli kama hizi zitakutoa tu "pangoni".So chill out and regroup yourself. .[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Bado haijabadilika, wale wanapigwa tu.

Ila nyie leo nitakaa kifitna mkipigwa tu series imeisha.
 
Ila nyie leo nitakaa kifitna mkipigwa tu series imeisha.
Hivi hujaacha tu hizi tabiri zako? Sweep ya Toronto kwani imeishia wapi? Hata tukifungwa leo series itakuwa bado sana...kwisha ni mpaka tutandikwe nne. Vipi Cavs akipigwa kesho nyumbani, je series itakuwa imeisha? Kumbuka tutakuwa hapa hapa, hatuondoki ng'o!😉🙂😀
 
Back
Top Bottom