Fainali ni Cavs na OKC na kwa hesabu za haraka haraka Cavz ndio watatoka kidedea.
GSW ataingia fainali mkuu..Si ndoto
"LATEST"..Coming Soon...
I"ll be here till the end of this post season..win or lose.This is the only thread that I give my 101%...Yaani kwenye hili jukwaa umebaki pekee mshabiki wa GSW mwenye imani ya kwamba mtafika final.
I like your spirit man.
GSW ataingia fainali mkuu..Si ndoto
Ila hivi Steph Curry kalikimbia Jukwaa. Ananiangusha sana. Mimi sijawahi kukimbia humu Raymundo. Tyta can be a honest witness to this. Shule ndo inanibana tu lakini yet naamka kila Alfajiri kutizama. Naweza nisipost humu lakini sikimbii
Samahani wandugu, kama kawaida ndio naingia na kukuta HT! Naona mchezo bado mgumu kutabirika...nimemsikia Shaq akitabiri GSW kuanguka, je wengine mnaonaje? Tofauti ya point hizo nane si kitu lakini hamadi kibindoni!OKC within striking distance.
Habarini wana jamvi. Naona OKC kuna uwezekano wa kufunga mahesabu usiku huu.
OKC leo atapigwa nadhani...amerudia kale kaugonjwa kake ka kutepeta Q4...
Labda utokee muujiza gani sijui ili ashinde...
Wana nafasi nzuri zaidi ya kufunga mahesabu keshokutwa nyumbani kwao. GSW pamoja na kuwa wako kwao bado wnasua sua.
Samahani wandugu, kama kawaida ndio naingia na kukuta HT! Naona mchezo bado mgumu kutabirika...nimemsikia Shaq akitabiri GSW kuanguka, je wengine mnaonaje? Tofauti ya point hizo nane si kitu lakini hamadi kibindoni!
Yaani BAK turnovers za GSW huzihesabu kabisa, mbona zimekuwa nyingi kuliko za OKC.Kwa maoni yangu turnovers zimewagharimu tena OKC hasa ukitilia maanani mpaka quarter ya nne bado walikuwa wanakula sahani moja na GSW. Natumai hawatafanya makosa kama ya leo kwenye game 6 Jumamosi, vinginevyo wanaweza kujiweka katika wakati mgumu wa kucheza game 7 ugenini.
Hahahahahah mwana anataka OKC wacheze perfect game.Yaani BAK turnovers za GSW huzihesabu kabisa, mbona zimekuwa nyingi kuliko za OKC.
Bruv, yo forgetting me over here!. It's just I can't watch em live and I'm always late to comment, but I'm here believing on that 29% they gave us to reach the finals. Even if we had only a 12%,I'd still believe. So you #bestbelieve that we are here.Yaani kwenye hili jukwaa umebaki pekee mshabiki wa GSW mwenye imani ya kwamba mtafika final.
I like your spirit man.
We the cut from the same fabric, son!.Ila hivi Steph Curry kalikimbia Jukwaa. Ananiangusha sana. Mimi sijawahi kukimbia humu Raymundo. Tyta can be a honest witness to this. Shule ndo inanibana tu lakini yet naamka kila Alfajiri kutizama. Naweza nisipost humu lakini sikimbii