Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Shhhsh, usiseme sana wala usiombee hilo litokee...wako watu humu inawezekana tusiwaone tena humu kwa miaka mitano ijayo. Ni wale ambao threshold zao za uvumilivu zilivyo soooo low. Bado nakumbuka ile siku (miaka ileee!) Simba ilipoifunga Yanga mabao 6-0! Yupo rafiki yangu moja alikutwa amening'inia mtini asubuhi iliyofuata, RIP!Haya wale wa Cavs mjiandae kichapo morning