NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Bruv, yo forgetting me over here!. It's just I can't watch em live and I'm always late to comment, but I'm here believing on that 29% they gave us to reach the finals. Even if we had only a 12%,I'd still believe. So you #bestbelieve that we are here.
Akili inaniambia Warriors wameandaliwa mwaka wa rekodi. This is another odd to overcome
 
Akili inaniambia Warriors wameandaliwa mwaka wa rekodi. This is another odd to overcome
Of course, lazima akili ikutume hivyo, kwani hivyo ndivyo unavyopendelea itokee...BTW, hiyo unayoisema siyo akili bali ni sense..your sensory faculty/consciousness guides you into seeing like that...
 
Hahaha, just tumuache alivyo. Naona pia inamsaidia yeye binafsi kupandisha morale yake.
Kwenye game 4 dhidi ya Blazers alisema "I'm back, I'm back"...then he went missing in the series against Thunders (especially in the 3 games that GSW lost)...now he is putting pressure on himself and the team to avoid going home...
 
You look really disappointed, aren't you...ha ha haaa!
 
You look really disappointed, aren't you...ha ha haaa!
Come on mzee...GSW is 3-2 down, how would I look disappointed? I'm more than happy, just waiting to see Chicken Curry's and Green's faces after they go home on Monday...
 
Haswaa. ... hahahahahahaaha you folks expected the GSW to loose badly and it went to a vice and versa of it.
Hivi kweli kuna mtu alikuwa anaamini Warriors atapigwa game 3 mfululizo!? Binafsi sikuwahi kuamini hivyo ingawa nitafurahi wakitupwa nje.
 
Sisemi wingi wa turnovers bali kama OKC katika zile crucial moments za mchezo ambazo walikuwa waongoze kwa points mara kama tano au sita hivi walifanya turnovers za kizembe nyingi tu na culprits walikuwa ni Westbrook na Durant.

Yaani BAK turnovers za GSW huzihesabu kabisa, mbona zimekuwa nyingi kuliko za OKC.
 
Back
Top Bottom