Mkuu weka akiba ya maneno. Usisahau ulikimbia jukwaa OKC walipokuwa juu 3- 1.It's time for Lebron, CP3, Wade and Mello to gang up on one franchise... There is no way for Lebron to win another ring, haitakaa itokee labda wakubali a pay cut kwa misimu angalau miwili ndio waje kupambana na hii Warriors.. Lebron na vichezaji vya East vyote hakuna wa kumsimamisha Warriors kwenye series, wala hii OKC assuming KD akibaki, wala Spurs..
Sikupinga ulilosema. Nlishangaa kimtindo na kukubaliana na kauli yako kiaina pia. Though tusubiri game ka 3 hivi ndo tutarudi kwenye kauli hizi.Kwamba mmeshinda game 1bado haimaanishi kuwa hamuwezi kutofungwa. Cavs can still do what you did to OKC.
Walee wazee wa Excuses..
Golden State had 9/10 Free Throws..Cavaliers had 18/22...
Hahaha mzee ongeza na hiiTetesi Hasheem Thabeet kusajiliwa na Golden state warriors msimu ujao
Summary..Yan nimewah kuamka niangalie mechi nakuta umeme umekatika. ila mkeka nimekuta umeandika bet won. Wadau mechi ilikuaje kwani.
Tetesi Hasheem Thabeet kusajiliwa na Golden state warriors msimu ujao
Hahaha....hivi huyu dogo yupo wapi siku hizi, maana nakumbuka last time nilimtazama D League na timu yake sijui ipo Michigan vile...
The NBA Finals were GSW vs OKC Thunder.
Not the mismatch we have here between GSt. and Cleveland.
I'd even venture to say this GSt. team can beat Cleveland without the services of Steph Curry.
They are just too good, they are hungry, their will to win is immeasurable, and most importantly, I think, they want to validate their championship from last year.
Therefore they have a point to prove.
I don't see this series going past four games unless GSt. takes the foot off the pedal and decides to seal the deal at their home court for the fans.
Mbona unasahau kitu kimoja Mkuu kuwa kwa Warriors hakuna cha rekodi za zamani...kazi waliyo nayo ni kufuta rekodi zote za zamani na kuandika historia mpya. Hilo hawajalifanya mara moja, wamelifanya kila nafasi ilipopatikana!Habari ya kutia moyo kwa fans wa Lebron and the Cavs...
Wameadimika sana humu..Ndio namna ya kuwasogeza hapa..Mbona unasahau kitu kimoja Mkuu kuwa kwa Warriors hakuna cha rekodi za zamani...kazi waliyo nayo ni kufuta rekodi zote za zamani na kuandika historia mpya. Hilo hawajalifanya mara moja, wamelifanya kila nafasi ilipopatikana!