NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

It's time for Lebron, CP3, Wade and Mello to gang up on one franchise... There is no way for Lebron to win another ring, haitakaa itokee labda wakubali a pay cut kwa misimu angalau miwili ndio waje kupambana na hii Warriors.. Lebron na vichezaji vya East vyote hakuna wa kumsimamisha Warriors kwenye series, wala hii OKC assuming KD akibaki, wala Spurs..
Mkuu weka akiba ya maneno. Usisahau ulikimbia jukwaa OKC walipokuwa juu 3- 1.
 
Kwamba mmeshinda game 1bado haimaanishi kuwa hamuwezi kutofungwa. Cavs can still do what you did to OKC.
Sikupinga ulilosema. Nlishangaa kimtindo na kukubaliana na kauli yako kiaina pia. Though tusubiri game ka 3 hivi ndo tutarudi kwenye kauli hizi.
 
Tetesi Hasheem Thabeet kusajiliwa na Golden state warriors msimu ujao
Hahaha mzee ongeza na hii

"Baada tu ya miezi 16 toka kusajiliwa kwake, mtanzania Hasheem Thabeet afanikiwa kumpiku Steph Curry kama mfungaji bora katika timu hiyo ya Golden State Warriors
 
The NBA Finals were GSW vs OKC Thunder.

Not the mismatch we have here between GSt. and Cleveland.

I'd even venture to say this GSt. team can beat Cleveland without the services of Steph Curry.

They are just too good, they are hungry, their will to win is immeasurable, and most importantly, I think, they want to validate their championship from last year.

Therefore they have a point to prove.

I don't see this series going past four games unless GSt. takes the foot off the pedal and decides to seal the deal at their home court for the fans.
 
Lebron losing in the nba finals "nothing has really changed"
...T
EHETEH..Hakika,nothing has really changed,..and nothing will,soon or later.
 
Yan nimewah kuamka niangalie mechi nakuta umeme umekatika. ila mkeka nimekuta umeandika bet won. Wadau mechi ilikuaje kwani.
 
Yan nimewah kuamka niangalie mechi nakuta umeme umekatika. ila mkeka nimekuta umeandika bet won. Wadau mechi ilikuaje kwani.
Summary..
Big 3 for the Cavs had 66pts
Big 3 for the Warriors had 36pts..
Final Results - CAVS 89 WARRIORS 104

Cavs Fans be Like ''Its just Game 1''...well it's 25% of the way to a title.
 
The NBA Finals were GSW vs OKC Thunder.

Not the mismatch we have here between GSt. and Cleveland.

I'd even venture to say this GSt. team can beat Cleveland without the services of Steph Curry.

They are just too good, they are hungry, their will to win is immeasurable, and most importantly, I think, they want to validate their championship from last year.

Therefore they have a point to prove.

I don't see this series going past four games unless GSt. takes the foot off the pedal and decides to seal the deal at their home court for the fans.

Kwa GSW LeBron na CAVS ni kama chai ya asubuhi tu...tuliokuwa na wasiwasi nao ni OKC na mathalan tumewafungasha mizigo tayari njia ni nyeupeeee kutetea ubingwa!
 
Habari ya kutia moyo kwa fans wa Lebron and the Cavs...
i
 
Habari ya kutia moyo kwa fans wa Lebron and the Cavs...
i
Mbona unasahau kitu kimoja Mkuu kuwa kwa Warriors hakuna cha rekodi za zamani...kazi waliyo nayo ni kufuta rekodi zote za zamani na kuandika historia mpya. Hilo hawajalifanya mara moja, wamelifanya kila nafasi ilipopatikana!
 
Ha ha ha...naona hata watu waliokuwa wamesema wataondoka jukwaani, sasa wamerudi kwa maneno mingi mingi....ni game 1 tu wazee...na tukijadili game 1 objectively...tutaona kwamba the series isn't over literally....

#GoCavs
 
Mbona unasahau kitu kimoja Mkuu kuwa kwa Warriors hakuna cha rekodi za zamani...kazi waliyo nayo ni kufuta rekodi zote za zamani na kuandika historia mpya. Hilo hawajalifanya mara moja, wamelifanya kila nafasi ilipopatikana!
Wameadimika sana humu..Ndio namna ya kuwasogeza hapa..
 
Back
Top Bottom