NBA Season 2015 - 2016: Special thread


Wakuu hongereni sana, this time sina sababu ya kushindwa kwa hizi game 2 za kwanza, mmetuzidi ujanja.

Series bado haijaisha, nimewapa hongera kwa hizi game 2 za kwanza mlizoshinda, siyo kwa series.
 
Bado naamini Cavaliers watashinda tu zimebaki game 5, japokuwa leo ilipofika Q3 nilipata usingizi mzito sana sijui kwanini.
 
So... the good news for the Cavs is they play the next 2 games at home..............................The bad news? The Warriors have won 3 straight in Cleveland by a combined score of 340-277.
cc:
Raimundo

Ha ha ha, nyie mazee mtaniua, yaani Cavs ananipa presha kama aliyokuwa ananipa Liverpool na Simba, bora na hii ligi iishe tujue moja aisee.

LBJ should stand up!
 
Wakuu hongereni sana, this time sina sababu ya kushindwa kwa hizi game 2 za kwanza, mmetuzidi ujanja.

Series bado haijaisha, nimewapa hongera kwa hizi game 2 za kwanza mlizoshinda, siyo kwa series.

Hivi nilisemaje vile kuhusu hii matchup ya GSt. na CAVS?

Halafu....Eastern conference iko weak sana sasa hivi. Na ndo maana hata LeBron ameweza kufikia kwenye fainali mara sita mfululizo.

Na binafsi naamini sasa hivi CAVS hawana kabisa confidence kuwa wanaweza kuwafunga GSt. Hawajiamini kabisa. Ni kama wanawaogopa Warriors.

GSt. wamo vichwani mwa Cleveland. Na wasipofagiliwa nitashangaa sana.

Labda tu Warriors watake safari hii kunyanyulia kombe nyumbani na hivyo kulegeza kidogo kamba na kuwaachia CAVS walau ushindi wa kufutia machozi.

Hebu fikiria hili....hivi huoni kwamba Finals za mwaka jana zilikuwa na ushindani mkubwa sana licha ya Cleveland kuwa na majeruhi ya nyota wake?

Mwaka huu wako hovyo kweli wakati Warriors wamekuwa wazuri zaidi.
 

Cavs hizi game 2 za mwanzo wamecheza chini ya kiwango sana, tena sana.

Game hizi mbili zimekosa msisimko kabisa, ngoja tusubiri game zinahamia nyumbani kwao LBJ.
 
Cavs hizi game 2 za mwanzo wamecheza chini ya kiwango sana, tena sana.

Game hizi mbili zimekosa msisimko kabisa, ngoja tusubiri game zinahamia nyumbani kwao LBJ.
Eti regular season si kitu, ngoma iko kwenye finals! Yaani nyumba ijengwe tu hata kama msingi ni mbovu. Wakati mwingine tujaribu kuwa serious kwenye comments...fikiria kwenye regular GSW washinde michezo 73 katika 82 halafu wanatokea watu wanabeza wakisema hawafiki popote? Katika fainali ambazo sina wasi wasi hata kidogo ni hii ya safari hii na kama nilivyosema awali ni sawa na kumsukuma mlevi.
 

Ninamiss sana finals za wakati ule, Michael Jordan na Chicago Bulls dhidi ya Karl Malone na Utah Jazz!. Finali ya mwaka huu ni kama mshindi kishajulikana. I'm feeling sorry for LBJ, the most they can win ni two games!. GSW is something else!.
 
Kwa mara ya kwanza hata ile hamu ya kuangalia NBA Finals nimekosa ukilinganisha na NBA Finals za miaka ya nyuma. Inadaiwa GSW kuwafunga CAVS kwa jumla ya 48 points katika michezo miwili ya kwanza imevunja rekodi ya NBA finals. Nadhani hata ratings za 2016 NBA finals zinaweza kuwa the lowest ever.

Ninamiss sana finals za wakati ule, Michael Jordan na Chicago Bulls dhidi ya Karl Malone na Utah Jazz!. Finali ya mwaka huu ni kama mshindi kishajulikana. I'm feeling sorry for LBJ, the most they can win ni two games!. GSW is something else!.
 
Jez ya GSW OG ntaipata k/koo sehemu ipi na kwa bei gan?
Naomba kuhuliza wadau
 

Game ya kwanza ya hizi Finals ratings zake zilikuwa juu.

Watu wanapenda suspense hususan inapokuja kwenye ushindani wa michezo.

Lakini sasa hivi sidhani kabisa kama games 3 na 4 ratings zitakuwa juu.

Halafu sasa kibiashara NBA ndo walikuwa wanapendelea zaidi hii matchup ya GSt. na Cleveland kwa sababu ya ratings lakini imekula kwao.

Unless Cleveland waje kushinda hizo games 2 za nyumbani, labda ndo raghba ya watu kutaka kufuatilia tena itarudi.

La sivyo, hizi fainali zitakosa kabisa ule msisimko ambao watu walidhani utakuwepo.
 
Keshokutwa tarehe 9 saa 4:00am alfajiri LeBron anaenda kulipa kisasi pale Q arena.
 
Mkuu Nzi, hebu chungulia kidogo basi mwenzangu...muone huyu hapa chini unayemwita chicken curry, katokea mbali ati!

Af sasa kutokea mbali in a way that nobody gave a damn about you. When everybody was sure that you'd never break out in the NBA. To the point that no one came to pay you visits or offer you scholarships.

Af leo hii uwafunike mpaka waliojiita "mchezaji bora duniani", kuwa'own mpaka waliojaa dharau na kebehi, kuvunja mioyo ya waliojiaminisha kuwa mlibahatisha tu, na kuhakikishia wote kuwa nyinyi ndo uso wa NBA watake wasitake.

Kwa yote hayo kwa nini msichukiwe?! Kwanini watu ghafla wasiwe washabiki wenu na kuitwa "bandwagons"?!

Mwisho wa siku kama nnavyosemaga...

"May the best team win, partner!"
 
Vipi Cavs ndio ingekuwa inashinda hivi pia kwako ingekosa msisimko na usingeangalia???
 
Nilichoandika hakihusu kushinda timu A au B bali kutokuwepo ushindani ambao wapenzi wa BB tumezoea kuona miaka nenda miaka rudi kwenye NBA Finals.

Vipi Cavs ndio ingekuwa inashinda hivi pia kwako ingekosa msisimko na usingeangalia???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…