Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Dah, sio nashangilia sana, ila Raimundo na Nzi pamoja na waumini wenu...ni nini kitakuwa kisingizio chenu this time around (kama tukiwapiga tena)?
Coz sio kwa such biggest point differential, 48pts,after 2 games. Kweli leo nlitegemea mfanye comeback ka ya mwaka jana angalau hii series inoge, lakini wapi!.
At the end of the day nahofia sana msije mkashindwa (kumbuka nimetumia neno "nahofia" na si "mtashindwa") kwa a sweep (hii naona itakuwa ngumu) au something close to 4-1. Coz mtakuwa mmeondoka na title ya" a failed campaign" kupiga kote zile "fo'fo'fo" af mje kuflop kwa this proportion asee sijui mtasingizia nini this time.
Wakuu hongereni sana, this time sina sababu ya kushindwa kwa hizi game 2 za kwanza, mmetuzidi ujanja.
Series bado haijaisha, nimewapa hongera kwa hizi game 2 za kwanza mlizoshinda, siyo kwa series.