Kama kawaida ila wewe Gang Chomba punguza kuhadithia unatujazia saver.
Tukutane tena friday folks...
Asee Curry nini kinamsumbua, bro?. Tangu zile games za Houston na Portland dah simuoni yule Curry wa regular season tena. Ingawa his presence alone inasaidiaga sometimes.The GSW Bench has been outstanding. .Our starters (esp Curry) needs to pull up their socks. .
Duh, pump your brakes, son!. Unatuchanganya na hizi C&Ps mara ni commentary ya game ya leo mara ni article ya jana/juzi which is which? Ila karibu asee.
It's known but we won't make it as an excuse..We believe in #strengthinnumbers, and that is what will make the job done..Asee Curry nini kinamsumbua, bro?. Tangu zile games za Houston na Portland dah simuoni yule Curry wa regular season tena. Ingawa his presence alone inasaidiaga sometimes.
Game day ni jumamosi ndugu saa 4:00am alfajiri kwa huko bongo.
"For comfort and difficulties"..Welcome to the board passenger. .
What's a team when its most important fan is missing? #GSW
CAVS... HONGERENI ASEE. Leo mmecheza vizuri na pia mmelipiza kisasi. Hapa naona a 30pts victory ka bench letu lisipotibua digits (not game, the game is already decided).
Mkujje kufurahi bas.
Oh, it's 120-90 end of the game. Leo mmem'prove wrong Stephen A.
As a true sportsman, I congratulate you Raimundo, Nzi, Mchagahalisi, BAK (even though najua we ni old school Bulls, najaribu kuappreciate your multi take on this Series), na opportunists (joking) woote watakaotokea leo.
Baada ya tafakuri nzito naomba nichukue nafasi hii kuwaaga wapenzi wote wa jukwaa hili na hasa mchezo huu wa Basketball. Huu utakuwa ni mchango wangu wa mwisho baada ya kubaini nawakwaza wachangiaji wengi kwa kutumia maneno yanayoonekana yanawaudhi baadhi yenu. Lengo langu wakati wote ni, pamoja na kuchokoza mjadala, kujadili mambo kwa namna ya satire kupunguza stress baada ya mihangaiko mitaani. Wakati wote sina nia mbaya kwa yeyote na nawatakia kila la heri na may the best Basketball team win this season. Pamoja na kwamba mimi ni mwanamichezo through and through, nitaendelea kusoma lakini sitachangia tena...asanteni kwa uvumilivu pale nilipopitiliza utani.
Nipo bado, so usiweke wingi!Ha ha ha, mkuu umetumiwa PM za vitisho nini?
Mbona mmeanza kukimbia wakati mnaongoza nyie jamani?
Nipo bado, so usiweke wingi!
Nimeona mkuu na ndio maana nkawapongeza!.Ha ha ha, watu wanaogopa kuzomewa timu yao ikifungwa!
Poa mkuu, umeona tulivyojibu lakini? Kama Curry akiendelea kucheza anavyocheza hii series inaweza ikawa ngumu kwenu, kitu ambacho nisingependa kukiona, nataka tuwapige mkiwa wote fit.
Hahaha ndugu angu Steph ni Marketing Analyst so mueleweni hivyo hivyo. Na Kerr akakubali tu hiyo plan?
Hii picha imepigwa kwenye game ya leo/jana... Lebron akishangilia huku Green akimcheka.. Hii picha ukiangalia kwa makini ina definitions nyingi sana...
Mimi naanza na hii.. "Warriors na NBA ilibidi wakae chini wanegotiate ni vipi wapate mapato pale Quicken Loans Arena na suluhisho likawa Cavs wakifungwa game 3 basi game 4 watajitokeza mashabiki wachache mno hivyo kukosekana mapato.. Warriors wakaombwa basi ili game 3 na 4 zote ziuze basi game 3 wamwachie Cleveland kushinda ili game 4 ivute mashabiki wengi zaidi kuingia uwanjani na PPV.. Ndio maana hapa Dray anamcheka tu The King kwakuwa anajua dhahama atakayoenda kuipata game 4 na 5.."
Wadau wengine mnakaribishwa kuitafsiri hiyo picha..