We choked, the series looks like it is over.
We should just wait the NBA report on Draymond..Personally, I didn't see anything wrong. .Bro...... Mbona mapema sana aiseee. Didn't you say that you needed the Warriors badly? Anyway Tyrone Lue just said that anyone who thinks it's over then shouldn't get in the plane to OAKLAND. He believes there's still a game to be played in Cleveland
Bro...... Mbona mapema sana aiseee. Didn't you say that you needed the Warriors badly? Anyway Tyrone Lue just said that anyone who thinks it's over then shouldn't get in the plane to OAKLAND. He believes there's still a game to be played in Cleveland
Really!!!..najua uko kwenye maombi mazito yakutaka Draymond aadhibiwe..[emoji38] [emoji38]Aisee natoa hongera zangu zangu za dhati kabisa kwa ushindi huu wa GSW.
Watani zangu wa Jadi kina Mag3, King Shaat, Alegria do povo, Steph Curry, Watu8 na washabiki wengine tuliokuwa nao kwenye uzi huu toka mwanzo na mpaka tunakaribia kuhitimisha, sina cha kusema zaidi ya kuwatakia kila kheri kwenye sherehe zenu za ubingwa mwaka huu.
Tukutane tena ngwe ijayo, probably naweza kuwa nimehama timu maana sijajua kama Cavs itaendelea kudumu baada ya kupoteza, OKC pia sina uhakika nayo, SAS pia sina uhakika nao, kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho ni kwamba sitawashabikia GSW, kwa hiyo nitaendelea kuwa mpinzani wa GSW.
Hahahahahahah so bro we hukuwa mtu ya CAVS siku zote. Au ni mutu ya yellow and gold LakersAisee natoa hongera zangu zangu za dhati kabisa kwa ushindi huu wa GSW.
Watani zangu wa Jadi kina Mag3, King Shaat, Alegria do povo, Steph Curry, Watu8 na washabiki wengine tuliokuwa nao kwenye uzi huu toka mwanzo na mpaka tunakaribia kuhitimisha, sina cha kusema zaidi ya kuwatakia kila kheri kwenye sherehe zenu za ubingwa mwaka huu.
Tukutane tena ngwe ijayo, probably naweza kuwa nimehama timu maana sijajua kama Cavs itaendelea kudumu baada ya kupoteza, OKC pia sina uhakika nayo, SAS pia sina uhakika nao, kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho ni kwamba sitawashabikia GSW, kwa hiyo nitaendelea kuwa mpinzani wa GSW.
Really!!!..najua uko kwenye maombi mazito yakutaka Draymond aadhibiwe..[emoji38] [emoji38]
Hahahahahahah so bro we hukuwa mtu ya CAVS siku zote. Au ni mutu ya yellow and gold Lakers
We should just wait the NBA report on Draymond..Personally, I didn't see anything wrong. .
Lbj did tangle & step over him ,just to get under Dray's skin..and cause him a flagrant or tech ,which would automatically lead to a suspension. Lbj is very smart.Hata akiadhibiwa ni game moja tu, ambayo bado haitawaokoa Cavs game mbili zitakazobaki.
BTW ukiangalia vizuri LBJ alimgonga kichwani na mguu wakati Dray yuko chini, na hata kile kingumi siyo cha kupewa adhabu, ila kwa sababu GSW wanaongoza atapewa suspension ili kujaribu kuirefusha series. Last time kwa Steve Adams alisamehewa kwa sababu timu ilikuwa imefungwa, na ile faulo ndiyo iliyohitaji adhabu siyo hii.
Hahahahaha this is what Skip Bayless is always against to when it comes to LeBron. Anasemaga LeBron wouldn't come on top even once against Jordan kwa sababu there have never been a trash talker in basketball like MJ. LeBron's mind is just too weak aiseeee"Draymond just said something that I don't agree with. I'm all cool with the competition. I'm all fine with that, but some of the words that came out of his mouth were a little bit overboard," James said. "Being a guy with pride, a guy with three kids and a family, things of that nature, some things just go overboard, and that's where he took it, and that was it."
Eti LBJ analalamika kutukanwa kwenye court, ha ha ha! Jamaa anatafuta excuse sana.
Lbj did tangle & step over him ,just to get under Dray's skin..and cause him a flagrant or tech ,which would automatically lead to a suspension. Lbj is very smart.
Asante Raimundo, na-respond tu kwa sababu umeni-tag...you are a true sportsman. See you next season ingawa sina hakika utashabikia timu gani...I mean atakakohamia LBJ, the crownless King! Good luck!Aisee natoa hongera zangu zangu za dhati kabisa kwa ushindi huu wa GSW.
Watani zangu wa Jadi kina Tyta, Mag3, King Shaat, Alegria do povo, Steph Curry, Watu8 na washabiki wengine tuliokuwa nao kwenye uzi huu toka mwanzo na mpaka tunakaribia kuhitimisha, sina cha kusema zaidi ya kuwatakia kila kheri kwenye sherehe zenu za ubingwa mwaka huu.
Tukutane tena ngwe ijayo, probably naweza kuwa nimehama timu maana sijajua kama Cavs itaendelea kudumu baada ya kupoteza, OKC pia sina uhakika nayo, SAS pia sina uhakika nao, kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho ni kwamba sitawashabikia GSW, kwa hiyo nitaendelea kuwa mpinzani wa GSW.
U have the best player in the world, usikate tamaa mnaweza piga comeback ya centuryAisee natoa hongera zangu zangu za dhati kabisa kwa ushindi huu wa GSW.
Watani zangu wa Jadi kina Tyta, Mag3, King Shaat, Alegria do povo, Steph Curry, Watu8 na washabiki wengine tuliokuwa nao kwenye uzi huu toka mwanzo na mpaka tunakaribia kuhitimisha, sina cha kusema zaidi ya kuwatakia kila kheri kwenye sherehe zenu za ubingwa mwaka huu.
Tukutane tena ngwe ijayo, probably naweza kuwa nimehama timu maana sijajua kama Cavs itaendelea kudumu baada ya kupoteza, OKC pia sina uhakika nayo, SAS pia sina uhakika nao, kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho ni kwamba sitawashabikia GSW, kwa hiyo nitaendelea kuwa mpinzani wa GSW.
Moneygreen23 don't have to worry a piece coz the boys gonna grind it out and win the title. So he should just lay back and be ready for the party!.Bad News For Warriors Fans:
Draymond Green is Suspended. ..Thanks For The "Cushion"..and 2 home court games.
Bad News For Warriors Fans:
Draymond Green is Suspended. ..Thanks For The "Cushion"..and 2 home court games.
Bad News For Warriors Fans:
Draymond Green is Suspended. ..Thanks For The "Cushion"..and 2 home court games.