Aisee natoa hongera zangu zangu za dhati kabisa kwa ushindi huu wa GSW.
Watani zangu wa Jadi kina
Mag3,
King Shaat,
Alegria do povo,
Steph Curry,
Watu8 na washabiki wengine tuliokuwa nao kwenye uzi huu toka mwanzo na mpaka tunakaribia kuhitimisha, sina cha kusema zaidi ya kuwatakia kila kheri kwenye sherehe zenu za ubingwa mwaka huu.
Tukutane tena ngwe ijayo, probably naweza kuwa nimehama timu maana sijajua kama Cavs itaendelea kudumu baada ya kupoteza, OKC pia sina uhakika nayo, SAS pia sina uhakika nao, kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho ni kwamba sitawashabikia GSW, kwa hiyo nitaendelea kuwa mpinzani wa GSW.