Ila umesahau kuwa Cavs ndiyo waliwapelekesha Warriors hadi kushindwa kufikisha points 90 kwenye homecourt. I hope tarehe 19 Cavs watawashushia kipigo Warriors....Kwa ufafanuzi zaidi, hizi ndizo points walizopata hizi timu tatu katika michezo yote waliyokwishacheza hadi leo.
Kama inavyoonekana hapo juu, GSW hawana mchezo wanapokuwa uwanjani.
Kama takwimu zina maana yoyote, hawana mpinzani!
History ought to be the best teacher if only our memories could rise to the task. Unfortunately our prejudices always act as stumbling blocks when all that is expected of us is but objective outlook. Talking of "kipigo", if the one CAVs received last year during the finals at their so called homecourt is anything to go by...need I go on?Ila umesahau kuwa Cavs ndiyo waliwapelekesha Warriors hadi kushindwa kufikisha points 90 kwenye homecourt. I hope tarehe 19 Cavs watawashushia kipigo Warriors....
It is over and the Warriors lose 110-112 to the Nuggets and the record now stands at 36-3!
Dah! Chief, wewe ndiyo hujajiona na prejudice siyo? Maana licha ya kushinda series na championship, lakini Warriors walipigwa na Cavs katika game 2 nyumbani kwao LBJ akipiga triple doubles, na kisha kushinda game 3 Ohio. Hivyo inawezekana Warriors kufungwa, inawezekana. Maana ulivyoongea ni kama vile Warriors waliwa-sweep Cavs kwa 4-0, it was 4-2. That meant Warriors were beaten twice: once at home and the other one away. Sasa kwanini nisiseme kuwa Cavs watawapa kipigo tarehe 19? Where is my prejudice? And why can't see yours?!History ought to be the best teacher if only our memories could rise to the task. Unfortunately our prejudices always act as stumbling blocks when all that is expected of us is but objective outlook. Talking of "kipigo", if the one CAVs received last year during the finals at their so called homecourt is anything to go by...need I go on?
Nevertheless, it had to happen and tonight Warriors have no answer to the Nuggets onslaught and by the looks of things the record is likely to be 36-3...unless some miracle happens.
teheteh...Mr.First Team No Offense..."First Team All Defense" T.A
teh teh teh teh
Mchizi wako huyo..teheteh...Mr.First Team No Offense...
when you are the new face of the NBA,the most defending champ,the new MVP,the most talked about,more highlights than most stars combined,praised by the media,experts and greats in the sport of basketball.You have arrived,Envy is a b*tch!Haters better watch their saltness,or BP will spike.Huyo jamaa hapo juu hajui Curry kaweka record ya most 3's in a single season kwa miaka miwili mfululizo na mwaka huu yuko kwenye race ya kuvunja aliyoiweka kwa zaidi ya 100 3's... Aiseee kuna watu vichaa huku duniani...
Yani anamfananisha Jamal na Jason Kidd na Stephen Curry hahahahahahaha... Jamaa alicopy wapi sijui post ya 2013 huko.... Aibuuu sana
[/QUOTE]when you are the new face of the NBA,the most defending champ,the new MVP,the most talked about,more highlights than most stars combined,praised by the media,experts and greats in the sport of basketball.You have arrived,Envy is a b*tch!Haters better watch their saltness,or BP will spike.
All fans with sanity thoughts know,Curry and co. have a mission, and the doubters" hate is least of their worries...
daah mkuu,I just cant quote,statement by statement....hakika nilidhani nimeingia thread ya mwaka juzi....kuna vitu vingi sana hana ushahidi navyo,Wewe bwana nimekwambia kazi yako ni kucopy na kupaste post zilizopostiwa na wenzako mwaka 2013 huko teh teh teh...
For the record, Curry hana hizo 3 pointers 845 unazosema, anazo 1345... Uko miaka mitatu nyuma ndugu...
Haya endelea na kazi ya kucopy na kupaste...
Jamaa anamlinganisha Jamal Crawford na Curry... teh teh teh tehdaah mkuu,I just cant quote,statement by statement....hakika nilidhani nimeingia thread ya mwaka juzi....kuna vitu vingi sana hana ushahidi navyo,
to him,being better is directly proportional to 3pt made.....(full stop)...never takes into consideration %,no of attempts,time frame,impact to the game,clutch plays,....hajui Curry sasa anainyemelea 90 40 50 club...Jamaa anamlinganisha Jamal Crawford na Curry... teh teh teh teh
Alikuja kichwa kichwa akatulizwa... Hata wale Curry haters hapa hawakumpa support kwa alivyokuwa anapoteato him,being better is directly proportional to 3pt made.....(full stop)...never takes into consideration %,no of attempts,time frame,impact to the game,clutch plays,....hajui Curry sasa anainyemelea 90 40 50 club...
ungemuuliza kama kama kashawai ona someone who can shoot off the dribble like that, or someone who can pull from 40ft as if its a lay up.....
...anyway...naona yuko cool sasa...atleast for the moment..
Teh teh teh teh naona unatuchokoza maksudi... Sawa mimi I'll root for Spurs leo hata kama ni threat kwetu...Nasubiri kuona game ya watakaoingia Final Mwaka huu, Cavs vs SAS!
Tonight we're going to get the picture of how NBA 2016 Finals will look like.
Steph Curry, Mag3, Tyta, Nzi
Tatizo ni utoto ukikua hutaacha wewe keyboard gangsta. I didn't run away. I just IGNORED you.Alikuja kichwa kichwa akatulizwa... Hata wale Curry haters hapa hawakumpa support kwa alivyokuwa anapotea
Chief, that's is just a minor part of basketball. If you mean Curry will be the best shooting guard ever (technically I think he fits better as a shooting guard than a point guard which is his official position), then you have a point. But, being called the best ever in NBA after 1.5 seasons of being a great player, NO WAY I'm gonna buy such a crap.to him,being better is directly proportional to 3pt made.....(full stop)...never takes into consideration %,no of attempts,time frame,impact to the game,clutch plays,....hajui Curry sasa anainyemelea 90 40 50 club...
ungemuuliza kama kama kashawai ona someone who can shoot off the dribble like that, or someone who can pull from 40ft as if its a lay up.....
...anyway...naona yuko cool sasa...atleast for the moment..
Jamaa unaishi 2013 mwaka 2016... teh teh teh tehTatizo ni utoto ukikua hutaacha wewe keyboard gangsta. I didn't run away. I just IGNORED you.